Bongo star search 2015

Bongo star search 2015

hivi we Nifa unamuona lakin dada wa kinaija mwenye skirt Nyekundu sijui
 
Kayumba ni oportunist,anajua wapiga kura wake wengi na watazamaji ni watanzania halisi hivyo kaimba nyimbo ambazo watz wanazipenda kuanzia zile za bella,yamoto band na isha mashauzi na pia ana sauti nzuri na anauwezo wa kumiliki jukwaa!Fonabo ni mwanamuziki mzuri coz anaimba na kupiga gitaa ila hamiliki jukwaa pia ameimba nyimbo nyingi ambazo watz wengi ambao ndo wapiga kura na watazamaji hawazijui!hvyo kwa mashindano haya kwa mtazamo wangu km unakipaji cha uimbaji hakikisha unaimba nyimbo pendwa na watz pia umiliki jukwaa!mtazamo wangu tu
 
Hawa wanamuziki wa nje naona waandaaji wanapoteza hela tu....Jamaa anapiga makelele tu...

Hamfikii Christian Bella hata kidogo...Hata Yamoto Band hawafikii

Nikama walivyo mleta Rick Rose kwenye fiesta akaishia kubweka tu kama mbwa .... whooooo whooooo whooooo mpaka show ikaisha
 
Wangemrudisha tu yule mkongo aje kupiga pesa tena

Kwakweli, hivi hawa watu wanawaletaga wa nini? Hizi nafasi za wabongo kupiga hela, watu wenyewe wanatuletea kama akina shilole tu, ovyoooo!
 
Da mimi ni shabiki wa Fanabo lakini kajamaa kametushinda

Ni Kama Vile Mashabiki WaLowassa ( FONABO ) Wanavyompenda Lakini Wamekiri Kuwa Dr. John Pombe Joseph Magufuli ( KAYUMBA ) Ni Habari Nyingine Na Atawashinda Kama Siyo Ameshawashinda Wana UKAWA.
 
Yaani toka Nigeria mpaka Tanzania halafu unakuja kufanya hayo jukwaani!!!!

Bora Msaga sumu ningefurahia muda wangu vizuri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom