Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
Kweli leo nimeprove kuna muimbaji na kuna muimbaji mwenye nyotaOyooooooooo
Kweli leo nimeprove kuna muimbaji na kuna muimbaji mwenye nyotaOyooooooooo
Teh teh..I luv u..
Hahhahaha yani ungejua ratiba yangu ya kesho ungenifukuza nikalale. Nahisi ntasinzia hata nikiwa nimesimamaWe jiachie tu..leo hata ukifurahi hadi kuvua nguo sikushangai
Diamond na Ali kiba teh msinichinje jamani. Au kina barnaba, rich mavoko, belle 9Kama Fally Ipupa na Fere Gora.. FI ana nyota wakati FG anakipaji zaidi
Poyeeee err
Hahahha anaitwa runtown sijui. Bora hata wasingemleta coz Christian bella ameshafanya matusiNgoja nitafute valium, huyu anayeimba sasa ndio nani? Nishavurugwa hapa hata angepanda beyonce sitaki tena!
Umeshakubali tayari??