Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,292
waswahili wanakazi kwelikweli eti taarabu nayo inaimbwa kwenye fainal
Ujinga mtupu
waswahili wanakazi kwelikweli eti taarabu nayo inaimbwa kwenye fainal
Eeeh wataalamu wa kuread between the lines tushaelewa
Ahsanteeee
waswahili wanakazi kwelikweli eti taarabu nayo inaimbwa kwenye fainal
Aaah waswahili oyeeeeeYaani eti sisi waswahii babu eh
Fonabo Tusker project fame ndio mahala pake , I wish ningemuona kule .
Da mimi ni shabiki wa Fanabo lakini kajamaa kametushinda