Bongo star search 2015

Bongo star search 2015

Judges wako bias.....

Sema Hizi ndio nyimbo waswahili wanapenda....Isha Mashauzi...Msagasumu....Vigodoro n.k

Kayumba ni sampuli ya Jumanne Iddi na yule mshindi wa mwisho Emmanuel Msuya....Ambao walikuwa na nyota ya kupendwa na wanacopy but hawaonekani kwenye soko la muziki...

Nassib Fonabo atafika mbali sana....Anaweza muziki
wachache sana wanaelewa hilo
 
hawa majaji uchwara wanaua vipaji ni bora tungepata majaji kutoka kenya ndio maana havumi nje ya nchi
 
Nilupenda pale mc aliposema hapa kazi tu akakutana na nguvu ya umma
 
Kweli muziki wa bongo ni ujanja ujanja tu, usiku mwema wapendwa, ngoja nikalale tu, sijui hata huo usingizi kama utakuja.

Pole mama inauma sana wanashabikia waswahili wakat wameita msanii kutoka naija..... Di is shiiit
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom