Bongo star search 2015

Bongo star search 2015

Fonabo is talented but aina ya muziki wake sio inayopendwa sana na wabongo. Level zake ni za mbele kusema kweli

Am watching now, daaah nimepitwa na mengi, sasa mbona huyu Fonabo mempenda gaufula
 
Hahahhhaha....salama kichwa chake anakijua mwenyewe
 
Hii ilikuwa wazi kama Lowassa kushinda urais.....

Fonabo ni muimbaji tu na mpiga chombo ila kayumba ni muimbaji na mtumbuizaji mzuri na pia anaimba nyimbo ambazo watz wengi ambao ndo wapiga kura wanazipenda na kuzielewa tofauti na za Fonabo
 
Huyu Frida kumbe anajua kucheza kikikekike..Mbona alikuwaga anatufanyia makusudi vile
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom