Bongo star search 2015

Bongo star search 2015

Mmh kazi ipo kwa Kayumba, Fenabo na Fridah
 
Kelvin nimependa style yake tu umewakilisha maadhi yetu ya asili
 
Siasa jamani madam Rita asante[/QUOT

siza kasemaje hadi madam kamaimdi???

HAPA KAZI TU. Madam Nae Hakumkopesha Akamchana Live Kuwa Ajue Kuwa Analipwa Na BSS Na Si Vinginevyo. Namsubiri Kwa Hamu Mno Sizya Kesho Pale Tegeta Stendi Ya Kwa Ndevu Ktk Kijiwe Chetu Cha MAFUNDI Simu Kwa MATEJA Ili Nimcheke Jinsi Alivyotolewa Nishai Na The Big Boss Madam Rita.
 
Kuna makosa wanayafanya mwishoni itakuja itakuja kuonekana kama wamekuja na majina mfukoni.

1. Fela hakutakiwa kwenda kumtunza dogo. Alitakiwa awe neutral
2. MC hakutakiwa kumwambia arudie kipart. Anatakiwa awe neutral
Especially kwa MC ile ilikuwa ni kama promo eti
 
Kuna makosa wanayafanya mwishoni itakuja itakuja kuonekana kama wamekuja na majina mfukoni.

1. Fela hakutakiwa kwenda kumtunza dogo. Alitakiwa awe neutral
2. MC hakutakiwa kumwambia arudie kipart. Anatakiwa awe neutral

hilo ndugu mbona tunalijua muda mrefu kayumba yuko katika management ya mkubwa na wanawe tunaoishi Temeke mikoroshini tunalijua swala hilo acha tujivunie
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom