Bongo star search 2015

Bongo star search 2015

HAPA KAZI TU. Madam Nae Hakumkopesha Akamchana Live Kuwa Ajue Kuwa Analipwa Na BSS Na Si Vinginevyo. Namsubiri Kwa Hamu Mno Sizya Kesho Pale Tegeta Stendi Ya Kwa Ndevu Ktk Kijiwe Chetu Cha MAFUNDI Simu Kwa MATEJA Ili Nimcheke Jinsi Alivyotolewa Nishai Na The Big Boss Madam Rita.

Atolewa tu hata huo u-MC ni majanga tu analeta siasa kwenye starehe za watu.
 
HAPA KAZI TU. Madam Nae Hakumkopesha Akamchana Live Kuwa Ajue Kuwa Analipwa Na BSS Na Si Vinginevyo. Namsubiri Kwa Hamu Mno Sizya Kesho Pale Tegeta Stendi Ya Kwa Ndevu Ktk Kijiwe Chetu Cha MAFUNDI Simu Kwa MATEJA Ili Nimcheke Jinsi Alivyotolewa Nishai Na The Big Boss Madam Rita.

sikusikia siza kasemaje ila apo alivomchana nimemsikia.....hahaha anamoyo wa uvumilivu mi ningetimua mbio za olympik kwa aibu
 
Ila nyie huyu kev me hata simuamini. Mnaweza a
Shangaa kaingia top 3. Me still wangu ni fridah, kayumba na naseeb
 
Angel nakupenda ila juhudi zako hazikutosha..ahsante kwa kushiriki
 
Jamani huyu aliyeimba afrika ndio mwenye kibaji zaidi ya hao wotee kuna kitu kimejificha sanaaa ni ngumu wabongoo kukionaa. Nampa kura yangu aisee amenikunaaa mwee!!!
 
Uwiiiiiiiii my woman!Naupenda huu wimbo kufa!
 
Lol!
Pls niachie Kayumba.....
Nyota ya Kayumba ni kama ya mzee wangu kipenzi Lowassa.

CCM Sasa Ndiyo Tunapima Juhudi Zetu Za KAMATI Ya UFUNDI Tunayoitumia Ktk Kampeni Za UCHAGUZI MKUU Huu Kupitia Kwa KAYUMBA JUMA Na ANGEL MARIE KATO Na Mmoja Wapo ASIPOSHINDA Hapo Taji La BSS Basi Hakika CCM 100% Mwaka Huu Hatuna CHETU. Akishinda Tu Mmoja Wapo Kati Ya Hawa Basi Dr. Magufuli Njia Yake Itakuwa Ni Nyeupe Kuelekea IKULU Yetu Ya MAGOGONI.
 
hilo ndugu mbona tunalijua muda mrefu kayumba yuko katika management ya mkubwa na wanawe tunaoishi Temeke mikoroshini tunalijua swala hilo acha tujivunie

Haya ni mashindano. Wanachofanya ni kubaka matokeo. Inatakiwa hata kama anashinda kusiwe na minong'ono ya kupendelewa.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom