BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,809
- 5,779
✌✌✌✌✌ BSS... teamfonabo
Huyu MC hovyo kabisa anaingiza siasa zake BSS
Yana hawa walikosea kumrudisha Frida,wamemtia hasira sana
Asiposhinda Kati Ya ANGEL MARIE KATTO au KAYUMBA JUMA Basi Nitaamini Kuwa Dr. Magufuli Hawi Rais Ajaye Wa Tanzania Kwa Mwaka 2015 Hadi 2020.
Kayumba ni nyok.............Jack lazima amchukie..Kamakosesha shavu lol
Fundi hatareeeeehuyu dogo 50m za kwake!!
clouds wanaonyesha poa
Si amesikiaMadam rita kamaindi habari za ccm kwenye kampuni yake
Nyimbo alizochagua na dress code hazimpi uhuru wa kufanya makeke
Huyu MC hovyo kabisa anaingiza siasa zake BSS
Oyooooooo my popoma jamani miss youuuu!
Mimi nasema Kayumba asiposhinda Lowassa hashindi.