Bongo star search 2015

Bongo star search 2015

CCM Sasa Ndiyo Tunapima Juhudi Zetu Za KAMATI Ya UFUNDI Tunayoitumia Ktk Kampeni Za UCHAGUZI MKUU Huu Kupitia Kwa KAYUMBA JUMA Na ANGEL MARIE KATO Na Mmoja Wapo ASIPOSHINDA Hapo Taji La BSS Basi Hakika CCM 100% Mwaka Huu Hatuna CHETU. Akishinda Tu Mmoja Wapo Kati Ya Hawa Basi Dr. Magufuli Njia Yake Itakuwa Ni Nyeupe Kuelekea IKULU Yetu Ya MAGOGONI.

Mary Kato hapiti top 3,wewe mchukue Fenabo Kayumba ni wangu since day 1.
 
Jamani huyu aliyeimba afrika ndio mwenye kibaji zaidi ya hao wotee kuna kitu kimejificha sanaaa ni ngumu wabongoo kukionaa. Nampa kura yangu aisee amenikunaaa mwee!!!

akiimbaga huu wimbo utadhani ye ndo mmiliki sema kuna mtu kashikilia nyota ake haonekani
 
hilo ndugu mbona tunalijua muda mrefu kayumba yuko katika management ya mkubwa na wanawe tunaoishi Temeke mikoroshini tunalijua swala hilo acha tujivunie

Kumbe ndo maana anaimba sana nyimbo za yamoto
 
Top three yangu ni
Kayumba
Fonabo
Angel japo inaniuma leo hakufanya vizuri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom