Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,844
- 52,251
star tv sijui kamera zao wamepaka mafuta....mbona mary amenona sana mafuta usoni
wallah umefanikiwa kunifanya nicheke.
star tv sijui kamera zao wamepaka mafuta....mbona mary amenona sana mafuta usoni
Hivi hii star tv na wenzangu inawazingua kama mie daah ..bored
Frida is genius, kosa lao la kumrudisha kawapiga baoYana hawa walikosea kumrudisha Frida,wamemtia hasira sana
Frida is going to top 3
Huyu MC hovyo kabisa anaingiza siasa zake BSS
Angel ana hati hati
Kayumba ndani ya sutiiii