Tupo pamoja + KaboomMy Top 3 Naseeb Kayumba Frida
But still he nailed it
Siasa jamani madam Rita asante[/QUOT
siza kasemaje hadi madam kamaimdi???
Simkubali sana Kayumba, kinacho mbeba ana Nyota kali sana
Hahahaha anaudhiiiiiiiHuyu dogo anakera aisee
Madam is crying oopsssssss
kope za madamu rita zimechomoka
kope za madamu rita zimechomoka
Eeh kwani sio kayumba au nimemix? Hahahah ilikuwa angel kumbe. Akili yote kwa kayumba sasa hivi mweehe or she?..