Wameniuz na kuniboa kumtoa mtoto mchanaji matata..nyambaf
Haha. Naona umeshindwa kwake, unageukia kwangu. Kwani tulikukosea nini?
MahabaaaaTeh teh teh teh, yaani unamuimbia bosi wako hizo nyimbo za kipashukuna!! Aisee kweli umeota mapembe.
Mahabaaaa
Kimbia tu, si tumekumbatianaKama mahaba ndio hayo naona bora nikimbieeeee..🏃🏃🏃🏃
Mimi namkubali sana yule dada anaye fanya rap
Yaani sijui kwanini nilihisi hilo.
Wapo wawili sasa, yupi?
Hata mimi...yule dada namkubali sana...ila abadili zile makeup zake....
I hope yule anaemuiga nik minaj
At last kuna thread lol........ though sijaifatilia hata safari hii