Bongo star search 2015

Bongo star search 2015

Weee daddy umeona wapi hiyo kitu aisee? Ndo walovyomaanisha kuwa watashare kiti ama? Obvious muunganiko wao utawapa kura nyingi. But nahisi judges watakuwa na means yao ya kujudge kura zao

Heaven Sent halafu mbona sielewi..Nimeona sehemu Frida na Angel wana namba moja ya kupigiwa kura..Hili sio bao la mkono kweli??..Kama kigezo ni kura za wananchi..Hawa watu(angel+frida) obvious watakuwa na kura nyingi zaidi..Hii sijui imekaaje
 
Last edited by a moderator:
Weee daddy umeona wapi hiyo kitu aisee? Ndo walovyomaanisha kuwa watashare kiti ama? Obvious muunganiko wao utawapa kura nyingi. But nahisi judges watakuwa na means yao ya kujudge kura zao

Nimesoma bongo5..Madam Rita alikuwa anaongea na vyombo vya habari..Hili swala wangeliweka wazi mapema ili kuondoa sintofahamu kwa wapiga kura..
 
Nipo naisubiria fainali kwa hamu sana,all the best my Kayumba.
Ukishinda leo nitafurahi sana.
 
Star tv wameweka tangazo wataonesha muda sio mrefu,pia clouds walitangaza kuonesha.

Star TV waongo kama ccm yao walisema wataonyesha kuanzia saa 9:30ila mpaka nw bado wanaonyesha ma liveshow ya kizungu
 
Star tv wameweka tangazo wataonesha muda sio mrefu,pia clouds walitangaza kuonesha.
Mmh bora na clouds waoneshe, star tv kwenye mambo ya live wanazinguaga. Sijui labda kama wameimprove sasa hivi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom