Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
Mwee kiguu na njia wewe. Vizia alhamisi marudioMweeeh sipo nyumbani mwenzio, alafu sikuiona performance yake ya j2
Mwee kiguu na njia wewe. Vizia alhamisi marudioMweeeh sipo nyumbani mwenzio, alafu sikuiona performance yake ya j2
Teh sawa mwana mabadilikoHahaa niko bize hadi hapo tar 26
Mweeeh huo muda nitakuwa nyumbani kweli!! Ninavyopenda kuzurura mie, ukiwa jobless rahaaa unazurura tuuu, cute b itabidi airecord niione.
Teh basi utaiangalia you tube.
Yeah daddy Kaboom alisema yeye huwa anawatch youtubeHuwa wanaweka?
performance ya nani imekubariki zaidi?Yani we katt kachawi..Ndo nimetoka kuicheki now..washaiweka..
Exactly, but akijijulia ana sauti nzuri tu. Umemcheck frida?Jack bado hajaijua zone yake kwa kweli..hajanibariki kwa hii last performance..bora hata ya week iliyopita
Naseeb yupo vizuriii na yeye, hahhaha kayumba ni hataree yule mtotoHuyu Kayumba mpaka anakera..Hakosei!!!...Nassib amenibariki pia...
She is so mwaah, nilipenda anavyorap afu anatembea kama anajikunja fulani hivi ki-hip hop. Ila pale mwishoni she was tensed hadi vimachozi jamani. Ila. Nimefurahi kusikia kuwa wanapatana na Angel maryYeah..Frida nadhani amejitahidi zaidi ukilinganisha na last week...Last week alikuwa kama anashout..haikuwa na ladha sana..this week amekaza zaidi
She is so mwaah, nilipenda anavyorap afu anatembea kama anajikunja fulani hivi ki-hip hop. Ila pale mwishoni she was tensed hadi vimachozi jamani. Ila. Nimefurahi kusikia kuwa wanapatana na Angel mary
Teh hicho kitu na missyrose alikisema, Angel was too confidentYeah..Nilimwonea huruma sana..Alilia kabisa..Angel alikuwa anaonekana hana wasiwasi hata kabla ya matokeo kutangazwa
Hahahhaah nilikuwa sijaisoma hii, Ujikute tu humpigii kura kayumba wetuDogo mbaya sana..Can he mess up hata mara moja..Mana mpaka anabore..Mtu tangu show imeanza hakosei..sasa ndo nn..Mi simpigii kura..Nimeghairi