Nope..Safari ile haina masharti..huyu mke anamsifia Kayumba mpaka mi naona wivu..Nimeamua kuwa mkoloni kidogo
Kabisa. Sema kukiwa na utofauti panapendeza kiasi chake..
Umeanza kumpigia kura dogo Kayumba?.
Frida na angel wana share kiti, so imebaki top 6 now
Naangaliaga ila jana nilipoangali ni kamkuta domo nikaondoa star tv linaramba ramba domo lake tu ilikuwa nikabadilisha chap ila finally kama kawaidaWe huangaliagi bss?
Hahahah ndo hivyo boss. So frida yupo ndani ya nyumba, hakutolewa. Kwa hiyo wamebaki washiriki 6 na sio 5Mbona kama sijakuelewa!!
BSS imenipita for 2 weeks now sista, hawa tanesco wanatunyima uhondo aisee, sijui marudio lini niangalie ilikuwaje wiki hii
Naangaliaga ila jana nilipoangali ni kamkuta domo nikaondoa star tv linaramba ramba domo lake tu ilikuwa nikabadilisha chap ila finally kama kawaida
Hahahah ndo hivyo boss. So frida yupo ndani ya nyumba, hakutolewa. Kwa hiyo wamebaki washiriki 6 na sio 5
Frida alikuwa anajitahidi, hope she's still doing good
Naangaliaga ila jana nilipoangali ni kamkuta domo nikaondoa star tv linaramba ramba domo lake tu ilikuwa nikabadilisha chap ila finally kama kawaida
Frida na angel wana share kiti, so imebaki top 6 now
Yupo kaka yangu, ila mie hata sielewi hizo vitu wanafanya.
Clouds Najua marudio ni Alhamisi Saa 8 mchana na Jumamosi ni Saa 8 na nusu mchana. Star tv ni alhamisi Saa 9 na nusu.Aiseee, clouds ni alhamis na j.mosi ila muda ndio sina hakika nao, Heaven Sent na Kaboom hebu nisaidieni hapa
Angel ndo huyo mwenye suruali View attachment 294870