Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
Teh salama kabisa daddy, yani relax kabisaDouta unanitisha..Huko salama lakini??
Teh salama kabisa daddy, yani relax kabisaDouta unanitisha..Huko salama lakini??
Ebooo!!!..Sasa mbona kama mepnz yamezidi sasa...
Hahhahah Nimekushindwa mbona. Maana sio kwa mabadiliko hayo. Tutaonana vizuri after uchaguzinipo busy na mabadiliko
Hahaha Walter alikuwa anakastyle anaimba wee afu anapeleka mbele kasura kake na kunyanyua kamguu
Boss salma hakubebwa, the kid is talented basi tu Walter ana nyota yake
Angel Mary simkubali..muzik anaoimba sio mambo yangu japo yupo vizuri. Halafu mbona kama Jana alikuwa anajiamini sana? Wenzake wanatetemeka yeye anatabasamu kwa mbaaaali,au mimi tu?
Teh teh..Sasa we unashindana na mwanaume..Tv mi si ndo nimenunua iweje unipangie masharti kipi niangalie na kipi nisiangalie
Hata mie hao wawili siwaelewi kabisaaaaaa!! Kwakweli mie aina hiyo ya mziki hapana.
atoto my dear Kayumba ni wetu,yule popoma K sitaki hata kumsikia.
Siku hizi nadeal na upcoming tu.
Kuna yule Galatone aliyeimba Sina mali si unamjua?
Namkubali sana yule kijana,akaze buti tu maana kaanza vizuri sana.
Hatuigawi katikati wala nn..Ijumaa hatuangalii kwenye tv..Ntakupeleka kwenye show..Sema ndo utakuwa unashangilia kwa masharti yangu..Nikikwambia piga kelele unapiga,nikisema nyamaza unakaa kimyaHaha..tuikate kati kati. Maana Ijumaa Kayumba akipita utanifukuza kwa hizo kelele.
Kumbe na wewe huwaelewi? Nilishukuru alivyokatwa mmoja wao,maana sijui nilikuwa naonaje tu.
Teh teh..Sasa we unashindana na mwanaume..Tv mi si ndo nimenunua iweje unipangie masharti kipi niangalie na kipi nisiangalie
Hatuigawi katikati wala nn..Ijumaa hatuangalii kwenye tv..Ntakupeleka kwenye show..Sema ndo utakuwa unashangilia kwa masharti yangu..Nikikwambia piga kelele unapiga,nikisema nyamaza unakaa kimya
Inabidi yawepo mashindano ya ra tu, na kuimba tu ili tutofautishe vizuri maana mie rap hata sielewagi ndio nini kile.
Nope..Safari ile haina masharti..huyu mke anamsifia Kayumba mpaka mi naona wivu..Nimeamua kuwa mkoloni kidogo
Kumbe na wewe huwaelewi? Nilishukuru alivyokatwa mmoja wao,maana sijui nilikuwa naonaje tu.