Bongo star search 2015

Bongo star search 2015

Teh teh na amri jeshi mkuu wa team wivu ni atoto ....

Mie kweli nina wivu yaani hata kwa wasiohusika, yaani hapa tu wivu umenijaa nakaribia kupasuka, ni vile tu dubai sijawahi kwenda lasivyo ningefanya maamuzi magumu.
 
Last edited by a moderator:
Clouds Najua marudio ni Alhamisi Saa 8 mchana na Jumamosi ni Saa 8 na nusu mchana. Star tv ni alhamisi Saa 9 na nusu.

C.c mito
afu kama ungeweza ungeangalia marudio katikati ya week coz ijumaa ndo fainali

Namasteee, my lovely brother mito hope umeshajua.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom