Kwa kupaste movie za kizungu ni noma, wanaboa!! alafu wanazipunguzia ladha, mfano Wema na Msechu walivyokomaa bila haya kuiharibu movie ya wenzao huku yao wakiipa jn la "Crazy Tenanty" full uozo kwann msitunge zenu.
Wapenzi utasikia wameishi pamoja kwa zaidi ya mwaka mmoja, ila siku mwanamke anafukuzwa anarushiwa nguo nje zinazoenea kwenye 'kitoto cha bag'. ..na anarushiwa nguo tu wakati unaona dressing table imeenea vipodozi.!.
Pengine unaona wapo kitandani wanajisifia juu ya nyumba yao nzuri..ghafla unaona foronya la mto lina jina la Hotel..!!
movies za sultan tamba, mbuyu au mtii mkubwaaaaa kwa juu kuna kitu kitatokea au kuonekana au mganga ana nguo nyekundu la alarm ya kichawi. mabint lazima waseme hey guyz