Bongo movies...

Miaka kama mitano nyuma nilinunuaga bongo movie kama tatu hivi kwa nyakati tofauti, nilidhani ntapata burudani! Kila niliyonunua ilizidi kuniboa zaidi nikaweka mipaka kuwa ntanunua tena baada ya miaka 10 ijayo labda watakuwa wameboresha. Kumbe mpaka leo ni yale yale! Utakuta filamu inatengenezwa na watu wasifika watano. Staring mpaka Dereva ni huyohuyo!

Mademu wa humo ni kuuza sura tu hawana uhalisia wowote action zao, wana act kwa kunatanata na kujishebedua ili kukuza soko la sura! matokeo yake wanaishia kuwa punda wa unga!
 

jini linaagiza redbull bar
 
Jambazi kabla hajavamia ndani anavua viatu mlangoni. Kisa mwenye nyumba amekataza carpet lake lisichafuke.
 
Kwenye film ya dereva tax ya Jb, Wolper kat,wa na derva tax usiku alafu asubuhi anamuuliza kuwa umenit-mba au hujanit-omba,

Maajabu mtu utiwe kisha asubuhi usijue mpaka uulize inamaana hata udenda chini huuoni!!?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…