akipiga simu anaeongea nae anasikika chumba cha pili,halafu utasikia 'habari za UK?Damu hufanana na tomato sauce
Hahahaha, ni kama Mulugo alivyosema 'dear lookers' badala ya 'dear viewers'
marry xmassHuku ni kujiaibisha sasa, kama na wewe hujui English si unyamaze. mbona yuko sawa vibaya mno.
Wavunje furniture za nyumba za watu..wataanzaje ikiwa majambazi wao tu wanavua viatu!!?
Jini anavuka barabara..anaangalia usalama wake kwanza.
Achani tu jana nimeangalia moja inaitwa yellow banana nusu nitapike mimi sijuo hawa waongozaji huwa hawajifunzi kutoka kwa wenzetu movie imechezwa na watu watatu inaboa to the extents .Damu hufanana na tomato sauce
Kahaba lazima avute sigara.....jambaz lazma livae koti refu na miwan myeus....mganga wa kienyeji lazma awe porini,mchafu,halaf anaongea kwa ukali!