nelly nely
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 665
- 229
af zile you know you know zinanikeraa!!dadeeek!Kie kie kie kie duh
af zile you know you know zinanikeraa!!dadeeek!Kie kie kie kie duh
analazmisha fani huyu jamaa,c hata me naweza kumbe?haahaha simkubali ata chembe huyu jamaaaaa
Ni katika bongo movies:
1. Majeruhi na maiti zinabebwa kwa mikono mitupu.
2. Maiti zinatetemeka macho
3. Ukitaka kucheka zaidi angalia scene za kipelelezi na za kimahakama.
4. Aliyepigwa risasi ana damu kama sample ya kupimia malaria.
5. ...endelezeni wenyewe mi bado naangalia.
umeonaaeeeeeehhahahahaaaaaa..........kweli zinaboa,raia hawavai ule uhalisia,kibongo bongo its better u watch comedy movies...eg mzee majuto,jotti,n others u wont get bored
Mie nikimwona tu kwny cover najua movie inaboahaahaha simkubali ata chembe huyu jamaaaaa
akipigwa ngumi anaangalia pa
kuangukia kwa usalama wake asijeumia. milio ya risasi kama unawasha
njiti za kibiriti
Mjin usiku kijijin mchana....
Kwenye subtitle mgeni anaitwa new people
acha ujinga wewe heheheheheekwenye subtitle demu shangingi anaitwa landcruiser chick.
acha ujinga wewe hehehehehee
naona umefurahii, si ndo jumatano leo, mambo safi kule nini?hahahahaaaa... walahi atiii..
kwenye subtitle mama mdodo wangu inaandikwa my small mother