Bomba la Mafuta: Kenya wamkomalia Museveni

Narudia tena huu mkataba umefanyika kwa makubaliano kwamba sisi tunawapelekea gesi wao wanatuletea mafuta ukiangalia kimsingi wakenya wanarukaruka tu.

Ni kweli, lakini kwa nini anaendelea ku entertain maiigizo yao!!! Kwa nini hawambii enough is enough halafu akafunga chapter.
 
Kikao cha jana kampuni ya Total ilieleza sababu za kuhamishia mradi Tanzania ikiwemo, Tanzania gharama za fidia ziko chini ukilinganisha na kenya, pili wakijenga kenya itabidi pia wajenge bandari katika eneo la lamu tofauti na Tanzania ambapo bandari ipo tayari. Mradi kwa Tanzania utaenda kasi ili ukamilike kabla ya 2018 ambapo uganda itaanza kusafirisha mafuta yake.

Kenya wamejibu na kusema kuhusu fidia kenya itashughulikia kwahiyo hiyo sio sababu na ujenzi wa bandari wamesema Tayari kuna ujenzi wa bomba la kutoka sudan ya kusini kwenda lamu hivyo hilo sio tatizo kwani haitakuwa sehemu ya huo mradi. Kuhusu uharaka wa mradi wamesema wanao mradi wa ujenzi wa reli mpya unaoenda kwa kasi hivyo nahuo utakuwa na kasi ileile.

Sasa sie tumejipangaje kupangua hoja za kenya ili mradi uendelee kuwa Tanzania?

Sisi hoja yetu kubwa na watanzania waliokufa UGANDA baada ya uvamizi ulifanywa na Rais wa UGANDA wakati huo Idd Amin Dada. Uganda hawana budi kufanya hivyo hawana jinsi kwa sababu nyingi, kwanza tuliwasaidia kumpta mseven huku KENYA ilikuwa nyuma ya Amin, inabidi tusaini mtaba mapema tu. hakuna jinsi.
 
Apunguziwe gharama kwa expense ya nani? Mlipa kodi wa Tanzania? NO,NO,NO,NO.Kama anaona biashara yake haitalipa aende kwingine
Bora aende huko lamu somali, asituzingue hapa na hii italuwa failure moja ya Magufuli. Ila kama hawamjui Magufuli vizuri hapo ndipo wataanza kumtambua vizuri.
 
Sisi hoja yetu kubwa na watanzania waliokufa UGANDA baada ya uvamizi ulifanywa na Rais wa UGANDA wakati huo Idd Amin Dada. Uganda hawana budi kufanya hivyo hawana jinsi kwa sababu nyingi, kwanza tuliwasaidia kumpta mseven huku KENYA ilikuwa nyuma ya Amin, inabidi tusaini mtaba mapema tu. hakuna jinsi.
We mwache Museven aruke ruke, tunaenda kumtoa pale na kofia lake
 
Ungekuwa biashara ni rahisi basi kila MTU ungekuwa mfanyabiashara.Nilichogundua baadhi yetu tunaochangia tunachanganya mambo hapa sasa,uzalendo,exposure sijui. Nakubaliana na wale wa nasema tufanyie kazi hilo suala ili mwisho wake tushinde hii tenda LA sivyo Kenyan wako very strategic na wata win hii tender.Tuna sababu nyingi za kuibuka washindi kwanza amani ya nchi inawakikishia u salama wa bomba LA mafuta kuliko Kenya (alshabab),historian yetu na Uganda,n.k hivyo tupunguze hizo gharama ikibidi ili tufaidike kiuchumi,ajira,na mengine.
 
Mashindano ya kibiashara shida ipo wapi? The business of the USA government is business - John Calvin Coolidge Jr. the 30th President of the United States
 
Kenya wanawalaghai tu.Uanze kujenga leo bandari hadi ikamilike ikubalike kibiashara na meli zije ni leo?
Tanzania hakuna kubembeleza kama waganda hawataki wanataka kutushinikiza kupitia wakenya kuwa turudi kubembeleza kwa kushika gharama zingine kama hao matapeli wakenya wanavyosema tusikubali.

Hapa mganda anataka kujifanya kama mwanamke kahaba kujiuza huku na kule.Raisi wao kasema tulidhani anaaminika Museveni hivyo hatutegemei sarakasi.Kama wanataka lijengwe sawa hawataki hawa waganda TO HELL WITH THEM.Wasittuyumbishe na kutupotezea muda

Kwanza kabisa nakuunga mkono kwa msimamo thabit, pia, ni msingi kutambua kwa uhakika, nchi yetu itafaidika vipi na huu mradi. Twaweza tangu sasa ku-establish cost structure, ili tusijejiweka katika mazingira ya kushusha gharama za uwekezaji bila kuwa na nafasi yoyote ki uchumi, na je, kama tukiukosa, tutakuwa tumepoteza kiasi gani cha faida si pesa pekee.

Hii tathmini ni lazima ifanyike, na iainishe kila faida na pengine uwezekano wa kupata hasara, na kiasi cha hasara endapo tutan'gan'gania kujenga au tutaachana na huu mradi na kutumiua rasilimali zetu; nguvu, muda na taaluma katika utaratibu mwingine kwenda mbele.
 
Ungekuwa biashara ni rahisi basi kila MTU ungekuwa mfanyabiashara.Nilichogundua baadhi yetu tunaochangia tunachanganya mambo hapa sasa,uzalendo,exposure sijui. Nakubaliana na wale wa nasema tufanyie kazi hilo suala ili mwisho wake tushinde hii tenda LA sivyo Kenyan wako very strategic na wata win hii tender.Tuna sababu nyingi za kuibuka washindi kwanza amani ya nchi inawakikishia u salama wa bomba LA mafuta kuliko Kenya (alshabab),historian yetu na Uganda,n.k hivyo tupunguze hizo gharama ikibidi ili tufaidike kiuchumi,ajira,na mengine.

I've liked your comments BUT can you kindly deliberate the real value of this project to our country that worth the fight?
 
Yani Kenya wanataka kusema watajenga bandari kwa miaka 2?!!!!
Impossible...
 
Usitegemee sana sis kupangua hiyo hoja. Sanasana omba Mungu Uganda wabaki na msimamo au subiri maelezo ya ki prima donna, eti "hatukuwa na uwezo wa kuwabadili waganda kwa sababu hao ni nchi huru na hela no zao, tunaendelea kuamini kuwa tanzania ndiyo chaguo bora na tutashirikiana na nchi ingine yoyote itayotaka kufanya mrado kama huo"
Typical Kikwete argumentation.
 
Kenya wanawalaghai tu.Uanze kujenga leo bandari hadi ikamilike ikubalike kibiashara na meli zije ni leo?
Tanzania hakuna kubembeleza kama waganda hawataki wanataka kutushinikiza kupitia wakenya kuwa turudi kubembeleza kwa kushika gharama zingine kama hao matapeli wakenya wanavyosema tusikubali.

Hapa mganda anataka kujifanya kama mwanamke kahaba kujiuza huku na kule.Raisi wao kasema tulidhani anaaminika Museveni hivyo hatutegemei sarakasi.Kama wanataka lijengwe sawa hawataki hawa waganda TO HELL WITH THEM.Wasittuyumbishe na kutupotezea muda
Biashara haitaki mambo kama hayo,ni ushawishi mpaka mwisho
 
mseven hawezi kipeleka mafuta kipitia kenya hata siku moja. Tanzania na Mseven ni zaidi ya Uganda na mseven. Mseven akifukuzwa uganda hawezi kwenda kuishi kenya hata siku moja.
 
Ni kweli, lakini kwa nini anaendelea ku entertain maiigizo yao!!! Kwa nini hawambii enough is enough halafu akafunga chapter.

Ndio hapo sasa kimsingi lazima unapofanya mikataba ya kibiashara lazima uangalie udhaifu na uimara wa mwenzako.

Ukiangalia kwa undani sana nishati yetu ya gesi inahitaajika na inaumuhimu mkubwa sana katika uchumi wa uganda kuliko hiyo nishati ya mafuta.

Kwahiyo lazima nasi turinge kwa nafasi yetu hapa mimi ninachokiona ni kwamba kwasababu wakenya wanajenga hiyo reli kwa makusudi makubwa ya kuteka
uchumi wa africa mashariki lakini ukiangalia Tanzania inarasilimali nyingi ambazo wanazihitaji sana

Kwahiyo museveni kajichanganya mwenyewe.
 
Kama tunataka hii project to be handed to Tanzania, i'm sure we need to work up and do something, otherwise hatutapata, pamoja na mazuri ya tanzania ya amani, gharama ndogo, security but still we need to go over museven and Kenya directly either by black and white ways. what we can do is prepare good proposal which will demonstrate Tanzania capability over kenya in construction of pipe by referring on the construction of Mtwara to Dar gas pipeline, ikibidi tuwachukue technical team ya total SA, Tullow na Cnooc waende wakaangalia, this will be as our case/project reference, pili tuwachulue total, tullow na cnooc wande wakatazame bandari ya tanga at the same time we need to have good business proposal with MSEVEN, lazima tujaribu kumshawishi huyu mtu, kama atakubali ni wakati sasa wa kutenga bandari ya Tanga to be used by ugandans businessmen, ili bidhaa zao zipitie hapo at low tax cost ,and we can even tell him to have jointventure clearance of goods between tanzania and uganda. About Cnooc hawa ni easily to be convinced kwani evaluation team itakuwa ya cnooc, tullow na total. Hii issue can go diplomatically as we can insure to have large business with chinese companies in TZ, watu huwa hawapeleki proposal then wanakaa waiting for better , hapa tunajidanganya.
 
Kikao cha jana kampuni ya Total ilieleza sababu za kuhamishia mradi Tanzania ikiwemo, Tanzania gharama za fidia ziko chini ukilinganisha na kenya, pili wakijenga kenya itabidi pia wajenge bandari katika eneo la lamu tofauti na Tanzania ambapo bandari ipo tayari. Mradi kwa Tanzania utaenda kasi ili ukamilike kabla ya 2018 ambapo uganda itaanza kusafirisha mafuta yake.

Kenya wamejibu na kusema kuhusu fidia kenya itashughulikia kwahiyo hiyo sio sababu na ujenzi wa bandari wamesema Tayari kuna ujenzi wa bomba la kutoka sudan ya kusini kwenda lamu hivyo hilo sio tatizo kwani haitakuwa sehemu ya huo mradi. Kuhusu uharaka wa mradi wamesema wanao mradi wa ujenzi wa reli mpya unaoenda kwa kasi hivyo nahuo utakuwa na kasi ileile.

Sasa sie tumejipangaje kupangua hoja za kenya ili mradi uendelee kuwa Tanzania?
Umesahau Kenya kuna Al Shabaab TZ hakuna...
 
Kama tunataka hii project to be handed to Tanzania, i'm sure we need to work up and do something, otherwise hatutapata, pamoja na mazuri ya tanzania ya amani, gharama ndogo, security but still we need to go over museven and Kenya directly either by black and white ways. what we can do is prepare good proposal which will demonstrate Tanzania capability over kenya in construction of pipe by referring on the construction of Mtwara to Dar gas pipeline, ikibidi tuwachukue technical team ya total SA, Tullow na Cnooc waende wakaangalia, this will be as our case/project reference, pili tuwachulue total, tullow na cnooc wande wakatazame bandari ya tanga at the same time we need to have good business proposal with MSEVEN, lazima tujaribu kumshawishi huyu mtu, kama atakubali ni wakati sasa wa kutenga bandari ya Tanga to be used by ugandans businessmen, ili bidhaa zao zipitie hapo at low tax cost ,and we can even tell him to have jointventure clearance of goods between tanzania and uganda. About Cnooc hawa ni easily to be convinced kwani evaluation team itakuwa ya cnooc, tullow na total. Hii issue can go diplomatically as we can insure to have large business with chinese companies in TZ, watu huwa hawapeleki proposal then wanakaa waiting for better , hapa tunajidanganya.

Point zako ziko valid kweli kweli, lakini nani alimlazimisha M7 kuwatangazia Watanzania kwamba yeye na Dk.Magufuli wamefikia makubaliano ya kujenga bomba la kusafirisha mafuta - baada ya wiki moja tuna ambiwa Uganda na Kenya wapo kwenye mazungumzo kuhusu suala hilo hilo - ina maana M7 hana mahamuzi ya kudumu, anatuchezea akili au wanataka kutu blackmail kwa kitu fulani, aingii akilini Rais nzima leo anasema hiki kesho anasema kile!

Nikikumbuka sakata la CoW, hilo tu linanifanya nisiwe overly opmistic na mradi huu, unajua wakati mwingine ma rais hawa wawili i.e M7 na Kenyatta si rahisi kuwaelewa ki undani.
 
Back
Top Bottom