Bomba la Mafuta: Kenya wamkomalia Museveni

Bomba la Mafuta: Kenya wamkomalia Museveni

UNAYOSEMA NI KWELI...ILA NAULIZA SWALI LA KIZUSHI TUU.

JE TANZANIA INAO HAO LOBBYISTS WA KUIFANYA KAZI HIYO?...TOKEA ENZI ZA NYERERE TULIKAA KINDEZI MPAKA KENYA INAUZA MLIMA KILIMANJARO NA SERENGETI SIE TUMEKAA TUU KAMA MIJINGA FULANI.

IFIKE PAHALA KAMA HATUNA WATU HAO...TUTAFUTE WATAALAM TOKA NJE WAJE WATUSAIDIE KULOBBY HIYO KAZI AGAINST WAKENYA NA KWA MALIPO YA SERIKALI MRADI UJE KWETU...NA TUSIISHIE HAPO TUU TUWALETE WATAALAMU WAUZE VIVUTIO VYA WATALII TULIVYOJAALIWA NA MUUMBA ZAIDI YA VIVUTIO 1000 VIKO NCHINI MWETU ILA HAVIJAWAHI KUTANGAZWA DUNIANI.

MUSEVENI ANAIPENDA TANZANIA, NA ANAJUA FIKA KUWA RAFIKI WA KWELI NI TANZANIA...NA NAAMINI HAKUPENDA SANA KUINGIA KWENYE ILE COALISION OF THE WILLING (CoW) YA KAGAME NA KENYATA KUIKOMOA TANZANIA ILA ALIKUWA HANA JINSI SABABU RELI ITAPITIA NYUMBANI KWAKE...BUT DEEP DOWN MUSEVEN IS MUCH A TANZANIAN THAN A KENYAN....NA TUSIPATE TABU SANA...MKULU AMTUME LIPUMBA AENDE KWA CLASSMATE/COLLEGE MATE WAKE MUSEVENI WAKAPIGE STORY ZA ZAMANI WAKIWA CHUO KISHA AMUOMBE ASOGEZE HILO DEAL NYUMBANI KWAO KWA ZAMANI.

PIA TUSISAHAU ISSUE YA MIGINGO ISLAND...HII INAWEZA KUWANYIMA KENYA HIYO DEAL KAMA NJIA MOJA WAPO YA MUSEVEN KUWAONYESHA KENYA HE IS SMART AND CAN PULL STRINGS UNDER THEIR BALLS...YOU GIVE MUSEVEN MIGINGO OR YOU LOOSE A DEAL WORTH BILLION DOLLARS.

WE CANT WAIT A MEAL SERVED TO US IN A SILVER PLATE....WE BETTER HURRY IN A KITCHEN AND SERVE OURSELVES IN A PLASTIC PLATE. THE MORE WE DELAYS THE EASIER WE MISS EVERYTHING.
Ninapoona mchango wa kitaalamu wenye mantiki kama huu, kwa kweli nataraji hao wakubwa wanapitia humu, kila usiku wanapokwenda kulala.
 
Mkono mtupu haurambwi. Tanzania pia itoe offer maalum ku counter ile ya Kenya. Kumbuka bomba hili litakuwepo kwa miaka mingi na huenda likapelekea kwenye miradi mingine ya pamoja. Hivyo kupunguza kidogo ushuru wa kupisha si vibaya. Kutoka $14 kwa pipa (kama hiyo ndivyo hivi sasa maana bei ya mafuta imeshuka sana). Au Tanzania itoe offer kuwa kila mafuta yashukapo na fees za kupitisha pia zuitashuka. Hilo tu laweza kuwa tosha.
 
Hili nalo neno Dr Majipu nadhani itakuwa vyema akifanya ziara ya kwanza nchini Uganda na kati ya mambo atakayozungumzia ni pamoja na unafuu na historia ya nchi zetu mbili kuanzia vita ya Kagera.
 
Mkono mtupu haurambwi. Tanzania pia itoe offer maalum ku counter ile ya Kenya. Kumbuka bomba hili litakuwepo kwa miaka mingi na huenda likapelekea kwenye miradi mingine ya pamoja. Hivyo kupunguza kidogo ushuru wa kupisha si vibaya. Kutoka $14 kwa pipa (kama hiyo ndivyo hivi sasa maana bei ya mafuta imeshuka sana). Au Tanzania itoe offer kuwa kila mafuta yashukapo na fees za kupitisha pia zuitashuka. Hilo tu laweza kuwa tosha.
Tunaweza toa offer ya kujenga refinery Tanga au tutoe offer ya kujenga bomba hadi Dar es salaam na tufufue kiwanda chetu cha Tipper kumbuka tipper inamilikiwa kwa ubia kati ya serikali na mwekezaji, kumbuka kenya walifunga refinery yao pale mombasa jambo ambalo limechangia huu mradi kuhama kutoka mombasa hadi lamu.
 
Kenyatta anajua Sisi Tanzania tumeshachumbia na tumeshasaini makubaliano yeye kurudi nyuma na kushawishi ili aoe yeye huu si uungwana mama tunataka kujenga undugu was A.mashariki. la sivyo sioni haja ya kuemdelea na hii jumuia ya kitapeli.

Mkuu hata mimi nimeona mradi huu wa ujenzi wa bomba ni mtihani wa mwisho wa kuonyesha kama Kenya na Tanzania tunaweza kuaminiana na kuwa kitu kimoja, haingii akilini mshirika wako akapewa mradi fulani halafu wewe ukafunga safari na kwenda kushawishi kiongozi mwenzako kwamba mradi huo upewe wewe? Huu ni ushirikiano wa design gani hata aibu hawana kabisa, waswahili usema ungwana ni vitendo, sioni kama wenzetu hawa wana ungwana na ustaraarabu, ukiwahoji wanakwambia hizo ndizo modus operandi za CAPITALISM!!! Yaani u swim au ukubali ku sink.
 
Hii attitude ndiyo inayotuangusha waTz. Hebu ona nilivyokutabiri kwenye post yangu hapo juu.

Kwani wakenya hawajui kuwa it is up to uganda?

Kwani kenya ni nchi isiyokuwa na ufisadi?

Tena nadhani wamethubutu kujaribu kutunyang'ang'anya hili tonge mdomoni wakijua tz imejaa watu wenye mawazo defeatist kama yako. (Ndiyo, u prima donna ni self defeating). Kwa kawaida wala wasingejaribu kuingilia dili ambali marais wawili wametoka nalo hadharani.

Duh, KENYA bwana, wana mambo. Things in this part of Africa are changing fast, and not in favour of Kenya. Pamoja na sababu zote hizo lakini nadhani sababu nyingine kubwa ilikuwa ni ya security, yaani hofu ya BOKO HARAM. Sasa sijui hoja hii wataipanguaje. Lakini mkataba nadhani tayari umeshasainiwa (sina hakika sana) kati ya Tanzania na Uganda. Binafsi, huwa na shaka sana na KENYA tangu Enzi za EAC pale walipoivunja makusudi. Namkumbuka Njonjo hasa picha ile ikimuonyesha akisherehekea yeye na wenzake kwa kunywa mvinyo baada ya EAC kuvunjika rasmi. Nakumbuka pia namna Wakenya walivyoigeuza meli ile (ya EAC) kwenye ziwa Victoria kuwa hoteli pale Kisumu. Nakumbuka pia namna walivyopora ndege karibu zote za EAA zilizokuwa mali ya EAC ambapo makao makuu ya ndege hizo yalikuwa Nairobi.

Jumuiya ile ya zamani ilikuwa safi sana, hapana shaka hivi sasa tungekuwa mbali sana.
 
Mkuu hata mimi nimeona mradi huu wa ujenzi wa bomba ni mtihani wa mwisho wa kuonyesha kama Kenya na Tanzania tunaweza kuaminiana na kuwa kitu kimoja, haingii akilini mshirika wako akapewa mradi fulani halafu wewe ukafunga safari na kwenda kushawishi kiongozi mwenzako kwamba mradi huo upewe wewe? Huu ni ushirikiano wa design gani hata aibu hawana kabisa, waswahili usema ungwana ni vitendo, sioni kama wenzetu hawa wana ungwana na ustaraarabu, ukiwahoji wanakwambia hizo ndizo modus operandi za CAPITALISM!!! Yaani u swim au ukubali ku sink.
Kenya amegundua tumafuta kidogo kwa kushirikiana na Tullow Oil sasa alitegemea asafirishe kwa hili bomba, sasa inabidi ajenge bomba lake na akitizama ka faida kote kataishia hapo na akisafirisha kwa maroli mafuta hayatauzika kumbuka refinary ya mombasa ilishafungwa siku nyingi, hapa kenyatta lazima kichwa kiwange na huu ni mtihani mkubwa kwake lazima akina Raila wamakamatie chini hapahapa.
 
Ada ya kupitisha mafuta katika bomba hili ni us$14 kwa pipa na kwa siku watapitisha pipa 250,000 kwa haraka Tanzania itavuna US$ 1b kwa mwaka sawa na 25% ya exports ya nchi nzima kwa mwaka, kumbuka malipo haya yanafanyika kwa pesa ya kigeni.

Hesabu hewa hizo ukizitizama ukiwa umelewa unaweza sema huu mradi una faida acha tu!! Ngoja uanze utasikia makisio ya mafuta tuliyodhani tunayo hayako kivile yako kidogo.Wanaanza kupump mapipa kumi kwa siku.Kodi zako hawakulipa,pesa yako uliyolipa imeyeyuka waliofaidi ni makampuni ya ujenzi yaliyojenga bomba.Haya matatizo tumeyaona kwenye migodi ya madini wakija wanakwambia utavuna dhahabu wewe hadi uchanganyikiwe Tupe hiki na kile changia kile !! Ukilewa ukachangia utajijua

Huyo mwekezaji kama yuko serious na anaona atapata faida kubwa awekeze. Utapeli wa kimataifa hatutaki.Mtu hawezi kuja kijijini na ahadi lukuki kuwa nipe kiwanja bure na mashamba bure nikianza uzalishaji nitawalisha wanakijiji wote bure na wewe unaingia kichwa kichwa.Akianza uzalishaji anaanza porojo si unaona nilichukua mkopo kulimia bado nalipa riba si unaona mvua hazikunyesha vizuri siwezi lisha kijiji.

Hatuhitaji mihemuko kwenye hili kwanza hatujui na hatuna uhakika hayo mafuta yako kiwango gani uganda na yatachukua miaka mingapi kwisha ni hesabu tunapewa na wao wenyewe.

Tanzania sio wana hisa wa hiyo kampuni hatuna sababu ya kutupa hela zetu kwa mfanyabiashara binafsi mmoja.Ni heri hizo pesa kama zipo wapewe vijana wanaomaliza vyuo vikuu wakaanzishe miradi yao ya kiuchumi.
 
Ada ya kupitisha mafuta katika bomba hili ni us$14 kwa pipa na kwa siku watapitisha pipa 250,000 kwa haraka Tanzania itavuna US$ 1b kwa mwaka sawa na 25% ya exports ya nchi nzima kwa mwaka, kumbuka malipo haya yanafanyika kwa pesa ya kigeni.

Mimi mawaziri wa M7 ndiyo wananitia wasi wasi.
 
Hesabu hewa hizo ukizitizama ukiwa umelewa unaweza sema huu mradi una faida acha tu!! Ngoja uanze utasikia makisio ya mafuta tuliyodhani tunayo hayako kivile yako kidogo.Wanaanza kupump mapipa kumi kwa siku.Kodi zako hawakulipa,pesa yako uliyolipa imeyeyuka waliofaidi ni makampuni ya ujenzi yaliyojenga bomba.Haya matatizo tumeyaona kwenye migodi ya madini wakija wanakwambia utavuna dhahabu wewe hadi uchanganyikiwe Tupe hiki na kile changia kile !! Ukilewa ukachangia utajijua

Huyo mwekezaji kama yuko serious na anaona atapata faida kubwa awekeze. Utapeli wa kimataifa hatutaki.Mtu hawezi kuja kijijini na ahadi lukuki kuwa nipe kiwanja bure na mashamba bure nikianza uzalishaji nitawalisha wanakijiji wote bure na wewe unaingia kichwa kichwa.Akianza uzalishaji anaanza porojo si unaona nilichukua mkopo kulimia bado nalipa riba si unaona mvua hazikunyesha vizuri siwezi lisha kijiji.

Hatuhitaji mihemuko kwenye hili kwanza hatujui na hatuna uhakika hayo mafuta yako kiwango gani uganda na yatachukua miaka mingapi kwisha ni hesabu tunapewa na wao wenyewe.

Tanzania sio wana hisa wa hiyo kampuni hatuna sababu ya kutupa hela zetu kwa mfanyabiashara binafsi mmoja.Ni hesri hizo pesa kama zipo wapewe vijana wanaomaliza vyuo vikuu wakaanzishe miradi yao ya kiuchumi.
Kumbuka Dr.Mataragio DG wa TPDC ndio hao waliokuwa ma lobist wa shell na exxon hiyo michezo wanaijua kuliko maelezo, ndio maana Total kaambiwa ajenge kwa pesa yake sisi ni kumnyoshea kidole pita pale na hapa, Nani anaweza mzidi prof Muhongo kwa porojo na kupangilia maneno, unafikiri mseven alibadili mawazo hivihivi alisomeshwa na wajanja wa magogoni.
 
Tutawapa Mlima kilimanjaro, Mbona yule mwarabu tulimpa Loliondo na yule wa u.s.a tumempa uraniaum kule namtumbo au ka vp tutampa Ikulu kwi kwi kwi cc ndo majingaccm hahaa hatushindwi kitu hbana au we unaonaje watatoka apo?
Haaaa haaaa haaaa hadi raha only under msoga
 
UJENZI wa bomba la kusafirisha mafuta ghafi kutoka Uganda, umeziingiza Tanzania na Kenya katika vita kali ya kuwania mradi huo, ambao utaifanya nchi moja wapo kuwa kitovu cha biashara na usafirishaji katika ukanda wa Afrika Mashariki.

Siku chache tu baada ya Uganda na Tanzania kuafikiana kuhusu ujenzi wa bomba hilo kutoka Bandari ya Tanga hadi Uganda, Jumatatu wiki hii Rais Uhuru Kenyatta alimwalika Rais wa Uganda, Yoweri Museveni Ikulu mjini Nairobi.

Kampuni zinazozalisha mafuta nchini Uganda, ni Tullow Oil plc kutoka Ireland, China National Offshore Oil Company (CNOOC) kutoka China na Total ya Ufaransa ambazo pia zilialikwa kuhudhuria mkutano huo.

Mtanzania

Hata hivyo, katika mkutano huo Rais Kenyatta alilenga kushawishi uwezo wa Kenya katika kutatua changamoto, ambazo zilipelekea kile ilichoona kuzidiwa ujanja na Tanzania, ambapo Uganda ilisita kutoa uamuzi wa mwisho.

Badala yake uamuzi wa wapi mradi huo utapitishwa utatolewa wakati wa mkutano mwingine baina ya pande hizo mbili utakaofanyika mjini Kampala wiki mbili zijazo.

Mradi wa bomba la mafuta kutoka Uganda hadi Kenya ni miongoni mwa miradi iliyo kwenye mpango mkubwa wa ujenzi wa miradi ya miundombinu ya kanda ya kaskazini.

Bomba hilo la mafuta linakusudia kusafirisha mafuta ghafi kutoka Hoima nchini Uganda hadi Bandari ya Lamu, kupitia eneo lenye mafuta Kenya la Lokichar.

Awali viongozi hao wawili walikutana nchini Uganda Agosti mwaka jana na kuafikiana kuwa ujenzi huo ulipaswa kuharakishwa.

Lakini Tanzania iliipiku Kenya baada ya Museveni kukutana na Rais John Magufuli mapema mwezi huu .

Tanzania inataka ujenzi huo uanze haraka na wiki iliyopita Makamu wa Rais wa kampuni ya Total Afrika Mashariki, Javier Rielo alimhakikishia Rais Magufuli, kuwa kampuni hiyo itaanza ujenzi huo haraka kwa kuwa fedha za kutekeleza mradi huo zipo.

Bomba hilo la kutoka Tanga hadi Uganda litakuwa na urefu wa kilometa 1,410 na litasafirisha mafuta ghafi kutoka Ziwa Albert hadi Bandari ya Tanga na litazalisha ajira za moja kwa moja 1,500 na zisizo za moja kwa moja 20,000.

Wakati Tanzania ikiipiku Kenya, hilo lilielezwa pamoja na mambo mengine ni kutokana na unafuu, uzoefu kama vile bomba la mafuta Tanzania na Zambia (TAZAMA) na usalama zaidi kulinganisha na Lamu, ambako kimeshuhudiwa mashambulizi ya mara kwa mara ya kigaidi.

Aidha ilielezwa kuwa wakati Kampuni ya Tullow na CNOC ambazo pia zimewekeza nchini Kenya zikipendelea mradi huo upitie Kenya, Total ilikuwa ikipendelea Tanzania.

Hata hivyo, ripoti iliyowasilishwa wakati wa mkutano huo wa Nairobi, iliyotumiwa na Uganda kuhalalisha uamuzi wake wa kuuhamisha mradi huo Tanzania ilitokana na mapendekezo ya Tullow na CNOOC.

Kwa mujibu wa vyanzo vya habari vilivyoshiriki mazungumzo ya Jumatatu, utafiti wa kampuni hizo mbili uliionya Uganda kutoendelea na mpango wake wa kuitumia njia ya Lamu.

Imefahamika kuwa kampuni hizo mbili zinazofanya kazi na Total, zilionya mpango ya Uganda kuanza kuvuna mafuta ghafi kwa ajili ya usafirishaji mwaka 2018 haitatimia iwapo itaendelea na mkataba na Kenya.

Rais Museveni na ujumbe wake uliwasilisha utafiti huo kwa timu ya Kenya iliyoongozwa na Rais Kenyatta kuonesha kwanini waliamua kuichagua njia ya Tanzania, ambayo ni ndefu zaidi ya ile ya Kenya.

Kwa mujibu wa utafiti huo, Kenya ina historia ndefu ya kuingia katika migogoro ya ulipaji fidia katika maeneo ya miradi, kitu ambacho kitachelewesha bomba kutoka Lokichar hadi Lamu.

“Wasiwasi wa Uganda ni utafiti uliofanywa na Tullow na CNOOC ulioonesha kuwa fidia ya ardhi inaweza kuwa sababu kuu ya ucheleweshaji wa ujenzi wa bomba hilo,” chanzo cha habari kilichohudhuria mkutano huo kilisema.

Utafiti huo pia uligusia kuwa migogoro inayohusisha upatikanaji wa ardhi kwa miundombinu ya Bandari ya Lamu Port, Sudan Kusini na Ethiopia kupitia (Lapsset) na ujenzi wa reli ya kisasa (SGR).

Ripoti ilisema wamiliki ardhi wa Kenya wana kawaida ya kupaisha mno thamani ya ardhi yao iwapo maeneo yao yanataka kuchukuliwa kwa ajili ya uwekezaji mkubwa.

Katika uwasilishaji wake wa taarifa hiyo, Uganda pia ilionesha matokeo ya utafiti ukionesha eneo lililopangwa bomba hilo la mafuta halina barabara nzuri na hilo linaweza kukwamisha ujenzi huo.

Utafiti pia ulieleza Bandari ya Lamu bado haijajengwa na hivyo inaweza isikamilike kufikia mwaa 2018 wakati Uganda itakapokuwa tayari kusafirisha mafuta ghafi.
 
Mkuu vipi swala la umbali halihusiki hapo kweli? Mahana naona kutoka kibale hadi kagera kuna kuna wilaya moja tu ya mbarara hapo kati kati, wakati ukielekea Kenya kuna wilaya takribani tano!
umbali sio tatizo km vigezo vyote unavyo.. UG wanaona TZ wanavyo...ukipiga mahesabu umbali kutoka UG had Tanga ni KM nyingi lkn haijarishi
 
Back
Top Bottom