Kikao cha jana kampuni ya Total ilieleza sababu za kuhamishia mradi Tanzania ikiwemo, Tanzania gharama za fidia ziko chini ukilinganisha na Kenya, pili wakijenga Kenya itabidi pia wajenge bandari katika eneo la Lamu tofauti na Tanzania ambapo bandari ipo tayari. Mradi kwa Tanzania utaenda kasi ili ukamilike kabla ya 2018 ambapo Uganda itaanza kusafirisha mafuta yake.
Kenya wamejibu na kusema kuhusu fidia Kenya itashughulikia kwa hiyo hiyo sio sababu na ujenzi wa bandari wamesema Tayari kuna ujenzi wa bomba la kutoka Sudan ya kusini kwenda Lamu hivyo hilo sio tatizo kwani haitakuwa sehemu ya huo mradi. Kuhusu uharaka wa mradi wamesema wanao mradi wa ujenzi wa reli mpya unaoenda kwa kasi hivyo na huo utakuwa na kasi ileile.
Sasa sie tumejipangaje kupangua hoja za Kenya ili mradi uendelee kuwa Tanzania?