Bomba la Mafuta: Kenya wamkomalia Museveni

Hesabu hewa hizo ukizitizama ukiwa umelewa unaweza sema huu mradi una faida acha tu!! Ngoja uanze utasikia makisio ya mafuta tuliyodhani tunayo hayako kivile yako kidogo.Wanaanza kupump mapipa kumi kwa siku.Kodi zako hawakulipa,pesa yako uliyolipa imeyeyuka waliofaidi ni makampuni ya ujenzi yaliyojenga bomba.Haya matatizo tumeyaona kwenye migodi ya madini wakija wanakwambia utavuna dhahabu wewe hadi uchanganyikiwe Tupe hiki na kile changia kile !! Ukilewa ukachangia utajijua

Huyo mwekezaji kama yuko serious na anaona atapata faida kubwa awekeze. Utapeli wa kimataifa hatutaki.Mtu hawezi kuja kijijini na ahadi lukuki kuwa nipe kiwanja bure na mashamba bure nikianza uzalishaji nitawalisha wanakijiji wote bure na wewe unaingia kichwa kichwa.Akianza uzalishaji anaanza porojo si unaona nilichukua mkopo kulimia bado nalipa riba si unaona mvua hazikunyesha vizuri siwezi lisha kijiji.

Hatuhitaji mihemuko kwenye hili kwanza hatujui na hatuna uhakika hayo mafuta yako kiwango gani uganda na yatachukua miaka mingapi kwisha ni hesabu tunapewa na wao wenyewe.

Tanzania sio wana hisa wa hiyo kampuni hatuna sababu ya kutupa hela zetu kwa mfanyabiashara binafsi mmoja.Ni heri hizo pesa kama zipo wapewe vijana wanaomaliza vyuo vikuu wakaanzishe miradi yao ya kiuchumi.
kule juu umeongea pointi ila ulipomalizia kws wanachuo kupewa pesa kuanzisha miladi ya maendeleo hapo ndipo umeniacha hoi yaani hata mikopp ya chuo wanashindwa kulipa waongezewe tena mzigo wa pesa?
 
Tutawapa Mlima kilimanjaro, Mbona yule mwarabu tulimpa Loliondo na yule wa u.s.a tumempa uraniaum kule namtumbo au ka vp tutampa Ikulu kwi kwi kwi cc ndo majingaccm hahaa hatushindwi kitu hbana au we unaonaje watatoka apo?
Umechangia nini hapo ? Na kesho utajiita mtanzania
 
Hesabu hewa hizo ukizitizama ukiwa umelewa unaweza sema huu mradi una faida acha tu!! Ngoja uanze utasikia makisio ya mafuta tuliyodhani tunayo hayako kivile yako kidogo.Wanaanza kupump mapipa kumi kwa siku.Kodi zako hawakulipa,pesa yako uliyolipa imeyeyuka waliofaidi ni makampuni ya ujenzi yaliyojenga bomba.Haya matatizo tumeyaona kwenye migodi ya madini wakija wanakwambia utavuna dhahabu wewe hadi uchanganyikiwe Tupe hiki na kile changia kile !! Ukilewa ukachangia utajijua

Huyo mwekezaji kama yuko serious na anaona atapata faida kubwa awekeze. Utapeli wa kimataifa hatutaki.Mtu hawezi kuja kijijini na ahadi lukuki kuwa nipe kiwanja bure na mashamba bure nikianza uzalishaji nitawalisha wanakijiji wote bure na wewe unaingia kichwa kichwa.Akianza uzalishaji anaanza porojo si unaona nilichukua mkopo kulimia bado nalipa riba si unaona mvua hazikunyesha vizuri siwezi lisha kijiji.

Hatuhitaji mihemuko kwenye hili kwanza hatujui na hatuna uhakika hayo mafuta yako kiwango gani uganda na yatachukua miaka mingapi kwisha ni hesabu tunapewa na wao wenyewe.

Tanzania sio wana hisa wa hiyo kampuni hatuna sababu ya kutupa hela zetu kwa mfanyabiashara binafsi mmoja.Ni heri hizo pesa kama zipo wapewe vijana wanaomaliza vyuo vikuu wakaanzishe miradi yao ya kiuchumi.

Mambo yamebadilika. Sio yale yale tena!!
 
Back
Top Bottom