Bomba la Mafuta: Kenya wamkomalia Museveni

Kama tunataka hii project to be handed to Tanzania, i'm sure we need to work up and do something, otherwise hatutapata, pamoja na mazuri ya tanzania ya amani, gharama ndogo, security but still we need to go over museven and Kenya directly either by black and white ways. what we can do is prepare good proposal which will demonstrate Tanzania capability over kenya in construction of pipe by referring on the construction of Mtwara to Dar gas pipeline, ikibidi tuwachukue technical team ya total SA, Tullow na Cnooc waende wakaangalia, this will be as our case/project reference, pili tuwachulue total, tullow na cnooc wande wakatazame bandari ya tanga at the same time we need to have good business proposal with MSEVEN, lazima tujaribu kumshawishi huyu mtu, kama atakubali ni wakati sasa wa kutenga bandari ya Tanga to be used by ugandans businessmen, ili bidhaa zao zipitie hapo at low tax cost ,and we can even tell him to have jointventure clearance of goods between tanzania and uganda. About Cnooc hawa ni easily to be convinced kwani evaluation team itakuwa ya cnooc, tullow na total. Hii issue can go diplomatically as we can insure to have large business with chinese companies in TZ, watu huwa hawapeleki proposal then wanakaa waiting for better , hapa tunajidanganya.

Yap we can't sit back and waiting for the things to work out automatically...Kenyans ni opportunist kutuzid kutokana na ubepari wao wa muda mrefu lakini kwa kuwa mfumo wetu unaelekea huko..we have to dance with the same manner in this song

Tanzania is very promising when it comes to this issue due to the lower costs , good diplomatic relations and enough security...
Kenyans wanatumia kigezo cha costs so as to win this deal but we possess more than that so, we have to play our card smart because we have a better chance to win this deal than kenyans..

Tumefika hapa tulipo kutokana na ucheleweshwaji wa kukubali ombi LA uganda kutumia bandari ya tanga lakini hatujachelewa sana kwa kuwa a leader on top of us is opportunist as well so,its a high time for Tanzanians to change our ujamaa mindset ili tufanikiwe zaidi
 
Ukiweka other factors constant, na uzalendo aside, kwa mawazo yangu haileti economic sense kujenga bomba la mafuta kupitia Tanga as opposed kupitia Kenya. Ni kama wanyarwanda walivyotaka kupitishia mizigo yao Mombasa badala ya Dar es Salaam. Sijui kama bomba litapitia chini ya Lake Victoria au litazunguka, ila kwa kila hali itakuwa la gharama zaidi kuliko kupitia Kenya. Issue ya fidia ni one time cost na haiwezi kuwa kigezo cha kufanya uamuzi. Gharama za uendeshaji in the long run ndo kigezo muhimu.

Nafikiri sababu kubwa ya waganda kutaka kupitishia bomba kwetu ni usalama tu. Wakenya hawaaminiki kwani katika ule mgogoro wa kile kisiwa wakenya walingo'a reli ya kwenda Uganda. Hicho waganda hawasahau leo mpaka kesho. Sasa fikiri ni bomba la mafuta linapita, si wangelichoma moto? Wakenya wakifanikiwa kuwapa assurance waganda kuhusu usalama, we might as well kiss this project goodbye.
 
Although Uganda said in August 2015 that it had agreed to the Kenyan route, it changed its stand and said Nairobi had to guarantee security for the pipeline, along with financing and cheaper fees than alternatives.

Total has previously also raised security concerns over the Kenyan route which would run close to the volatile northeastern region where militant groups such as Al-Shabaab remain a threat.
Museveni anaonekana misimamo yake haiko thabiti hebu cheki hapa >>>>. Museveni suspends pipeline decision after meeting Uhuru

Sina wasiwasi Tanzania ishakula bingo kwenye hili dili.

Pia ukisoma maoni ya wasomaji wa gazeti hili (Wakenya) utagundua wameshaikatia tamaa hii deal kwa vigezo vitatu:
A) Usalama wa mradi ni mdogo (tishio la alshababu)
B)gharama xa uwekezaji ni kubwa nchini Kenya
C)Kenya na Uganda hazina mahusiano mazuri kihistoria hadi leo, pia Kenya sio marafiki wa dhati, ni marafiki maslahi, wanafiki, walafi na matapeli
Kwa nyongeza Tanzania ina mahusiano mazuri kihistoria hadi leo na Mseveni ni mtu wetu kihistoria, mara nyingi anatafuta namna ya kulipa fadhila kwa Tz kwa kile tulichowafanyia, hawezi badili walichoongea na Rais Magufuli na ana imani nae na wananchi wake watamwelewa zaidi kuliko akipitia kwa wanafki Kenya
 
serikali yangu inafanya nini sa iv?... wamekaa kimya sana hadi wanatia wasiwasi.... ila ni sawa maana wakiwa wanaweka wazi wanaambiwaga kua wanatafuta umaarufu.
 
Yap we can't sit back and waiting for the things to work out automatically...Kenyans ni opportunist kutuzid kutokana na ubepari wao wa muda mrefu lakini kwa kuwa mfumo wetu unaelekea huko..we have to dance with the same manner in this song

Tanzania is very promising when it comes to this issue due to the lower costs , good diplomatic relations and enough security...
Kenyans wanatumia kigezo cha costs so as to win this deal but we possess more than that so, we have to play our card smart because we have a better chance to win this deal than kenyans..

Tumefika hapa tulipo kutokana na ucheleweshwaji wa kukubali ombi LA uganda kutumia bandari ya tanga lakini hatujachelewa sana kwa kuwa a leader on top of us is opportunist as well so,its a high time for Tanzanians to change our ujamaa mindset ili tufanikiwe zaidi
Huu mradi ni wakupigania kufa na kupona, waziri wa uganda anasema bomba hili litatumia us$2.7b likijengwa kuelekea lamu, na likielekea mombasa litatumia us$ 4b, kwatanzania litagharimu us$5.7b hivyo anasema ni route ya Tanga haifai, lakini rais wa Total anasema watatumia pesa zao wenyewe kujenga.

Ada ya kupitisha mafuta katika bomba hili ni us$14 kwa pipa na kwa siku watapitisha pipa 250000, kwa haraka Tanzania itavuna US$ 1b kwa mwaka sawa na 25% ya exports ya nchi nzima kwa mwaka, kumbuka malipo haya yanafanyika kwa pesa ya kigeni.
 
Unachosema ni kweli, kuna waziri mmoja alinenda Dubai akapata tender ya kusupply nyama ya Ng'ombe kufika tu uwanja wa ndege akaanza kujitapa kuwa kafanikisha upatikanaji wa soko la ng'ombe wa Tanzania. Brazil wakasikia haraka wakaenda Dubai wakapandilia deal waziri alisubiri haoni mwarabu kuja kununua ng'ombe. Tusishangae bomba likahamia Kenya.

Sahau!

Huwezi kuing'oa Tz kwenye dili hii, ni hasara kucompete na Tz, mark my words
 
Bomba la mafuta kujengwa kama ilivyokubaliwa-TPDC
Kuchapa

Mkurugenzi Mtendaji wa TPDC, Dk James Mataragio

0 Comments

SHIRIKA la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limesema mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta ghafi kutoka Uganda mpaka Bandari ya Tanga utafanyika kama marais wa nchi hizo mbili walivyokubaliana.

Wameeleza kuwa kwa sasa makubaliano yako katika hatua za mwisho ili ujenzi wa mradi huo kuanza huku nchi za Kenya na Uganda wakiendelea na mazungumzo katika kufikia mwafaka wa jambo hilo.

Mkurugenzi Mtendaji wa TPDC, Dk James Mataragio alisema hivi karibuni kumekuwa na taarifa za mradi huo kukwama kutokana na Kenya kudaiwa kukubaliana na Uganda kupitisha mradi huo nchini mwao.

Akizungumzia suala hilo, Dk Mataragio alisema ni kweli awali kulikuwa na makubaliano ya nchi hizo mbili kupitisha mradi huo Kenya kutoka Hoima hadi Bandari ya Lamu, lakini kwa sababu mbalimbali Uganda waliamua kupitisha Bandari ya Tanga.

Alieleza ingawa umbali kutoka Uganda hadi bandari za Kenya ni karibu kwa kilometa chache kuliko Tanga zipo sababu zilizofanya bomba hilo kufikishwa Tanga. Sababu hizo ni pamoja na gharama kubwa za ujenzi kwenda Kenya na bandari ya Tanga kuwa na kingo za asili hivyo kuweza kusafirisha mafuta mwaka mzima.

Alisema pia ujenzi wa bomba hilo hadi bandari ya Tanga haupiti sehemu yenye makazi ya watu wengi hivyo kupunguza gharama, huku bomba likipita maeneo mengi ya tambarare bila kuwa na miinuko inayofanya kuongeza gharama za kupampu.

Alisema tayari timu za wataalamu zimekutana na kukubaliana masuala kadhaa ya ujenzi huo pamoja na kusaini mpango wa utekelezaji wa mradi. Dk Mataragio alisema kuhusu gharama ni kawaida siyo kubwa kama inavyoelezwa na baadhi ya watu hivyo ni vema watanzania wakaelewa kuwa hakuna tatizo la kukwama kwa mradi huo kwa sababu yoyote.

Kampuni zinazozalisha mafuta nchini Uganda ni Tullow kutoka Ireland, Kampuni ya Ufaransa ya Total na Kampuni ya CNOC kutoka China.

Wakati hayo yakielezwa hivi karibuni, Makamu wa Rais wa Kampuni ya Total Afrika Mashariki, Javier Rielo alimueleza Rais John Magufuli kuwa kampuni hiyo itaanza ujenzi huo haraka iwezekanavyo, kwa kuwa fedha za kutekeleza mradi huo zipo.

Bomba hilo la kutoka Tanga hadi Uganda litakuwa na urefu wa kilometa 1,410 na litasafirisha mafuta ghafi kutoka ziwa Albert nchini Uganda hadi Bandari ya Tanga na litajengwa kwa gharama ya Dola za Marekani bilioni nne.

Unatarajiwa kuzalisha ajira za moja kwa moja 1,500 na ajira zisizo za moja kwa moja 20,000 huku ukitarajia kukamilika baada ya miaka mitatu hadi minne.
 
Kikao cha jana kampuni ya Total ilieleza sababu za kuhamishia mradi Tanzania ikiwemo, Tanzania gharama za fidia ziko chini ukilinganisha na kenya, pili wakijenga kenya itabidi pia wajenge bandari katika eneo la lamu tofauti na Tanzania ambapo bandari ipo tayari. Mradi kwa Tanzania utaenda kasi ili ukamilike kabla ya 2018 ambapo uganda itaanza kusafirisha mafuta yake.

Kenya wamejibu na kusema kuhusu fidia kenya itashughulikia kwahiyo hiyo sio sababu na ujenzi wa bandari wamesema Tayari kuna ujenzi wa bomba la kutoka sudan ya kusini kwenda lamu hivyo hilo sio tatizo kwani haitakuwa sehemu ya huo mradi. Kuhusu uharaka wa mradi wamesema wanao mradi wa ujenzi wa reli mpya unaoenda kwa kasi hivyo nahuo utakuwa na kasi ileile.

Sasa sie tumejipangaje kupangua hoja za kenya ili mradi uendelee kuwa Tanzania?
***

https://m.facebook.com/story.php?story_fbid=2007052226187597&id=100006485170163&_rdr
 
Nadhani ni muda mwafaka kwa Tanzania kusimama kiume. Hawa nyang'au lazima tuheshimiane. Kama Marais wawili wamezungumza kwenye media kuna sababu gani Kenya kufanya negociations tena ktk hilo? Hakuna sababu ya kuwalazimisha Waganada. Kama watawithdraw... ok. Ila sioni sababu ya EAC kama hali ndo hiyo.

Naona huo ni Mtihani kwa Mseven...
 
Ulafi wa madaraka kwa viongozi wa nchi hizi unasababisha na ulafi wa mali naa ulafi wa madaraka, tusubiri watakapo anza kunyang'anyana Mafuta sa Sudan kila nchi ikitaka kuwa msimamizi wa mafuta hayo, kuunganisha Afrika ni baada ya kizazi hiki.
 
Kenyatta anajua Sisi Tanzania tumeshachumbia na tumeshasaini makubaliano yeye kurudi nyuma na kushawishi ili aoe yeye huu si uungwana mama tunataka kujenga undugu was A.mashariki. la sivyo sioni haja ya kuemdelea na hii jumuia ya kitapeli.
 
Huu mradi ni wakupigania kufa na kupona, waziri wa uganda anasema bomba hili litatumia us$2.7b likijengwa kuelekea lamu, na likielekea mombasa litatumia us$ 4b, kwatanzania litagharimu us$5.7b hivyo anasema ni route ya Tanga haifai, lakini rais wa Total anasema watatumia pesa zao wenyewe kujenga.

Ada ya kupitisha mafuta katika bomba hili ni us$14 kwa pipa na kwa siku watapitisha pipa 250000, kwa haraka Tanzania itavuna US$ 1b kwa mwaka sawa na 25% ya exports ya nchi nzima kwa mwaka, kumbuka malipo haya yanafanyika kwa pesa ya kigeni.

Kuna habari ya tpdc imetolewa jamvini na imeelezea kwa kina kuhusu suala hili...

Itaongeza GDP ya nchi yetu na pia kupunguza utegemezi wa wahisani katika bajeti (hii itasaidia kukamilika kwa mipango ya serikali kwa muda pendekezwa ), ajira zitakuwepo, uwekekezaji utaongezeka na hii itakuwa fursa nyingine ya kiuchumi kwa jiji LA tanga na bandari yake pia..
Huu sio mradi wa kuupuuzia

Kazi kwetu kuboresha nguvu kazi yetu ili iendane na kasi ya maendeleo yetu....
 
Mods tusaidie kupandisha this comment juu.. Excellent briefing of the meeting
Uhuru anaonekana kukataa tamaa na kuvaa sura ya kuomba huruma kwa m7. Na sisi tutume ma expert wetu wakapangue hoja kwa m7 before its too late. La sivyo itakula kwetu coz uhuru is up for any thing,by hooks or crooks. We cant trust either m7 or uhuru. We can only relax when the construction begins!!
 
umeona unafuu wanaoutoa Nairobi lakini?

Fidia sio tena jukumu la mwekezaji bali ni jukumu la serikali ya Kenya

Kuhusu Bandari wanajenga wao wakenya kwa sababu wana bomba linguine from south sudan

Kwa Total this may be cheaper...

As you said Ni maamuzi sasa ya kina Museveni

TATIZO LA KENYA NI AMANI NA MASHAMBULIZI YA MAGAIDI....TOTAL WAMESHAWAAMBIA KENYA HIYO BANDARI YA LAMU ITA-THREATEN MRADI MZIMA AS IKO KARIBU NA SOMALIA NA MAGAIDI IN GENERAL.
SIE TICKET YETU IPO KWENYE USALAMA WA MRADI NA AMANI NCHINI MWETU...GHARAMA ZA KUULINDA HUO MRADI KWA KENYA NI MARA 1000 YA GHARAMA KWA TANZANIA.
TOTAL WAMEJIFUNZA KWA WENZAO WA SHELL KULE NAIGERIA...POLITICAL INSTABILITY NA REGIONAL VIOLENCES ZIMEWARUDISHA SANA NYUMA SHELL.
 
Huu mradi ni wakupigania kufa na kupona, waziri wa uganda anasema bomba hili litatumia us$2.7b likijengwa kuelekea lamu, na likielekea mombasa litatumia us$ 4b, kwatanzania litagharimu us$5.7b hivyo anasema ni route ya Tanga haifai, lakini rais wa Total anasema watatumia pesa zao wenyewe kujenga.

Ada ya kupitisha mafuta katika bomba hili ni us$14 kwa pipa na kwa siku watapitisha pipa 250000, kwa haraka Tanzania itavuna US$ 1b kwa mwaka sawa na 25% ya exports ya nchi nzima kwa mwaka, kumbuka malipo haya yanafanyika kwa pesa ya kigeni.

Mkuu reading between the lines naona wanao muyumbisha M7 ni Mawaziri wake i.e Waziri wa Uganda kuna kitu si bure, hekima ya M7 ndiyo inawaze kumaliza ujinga huu - yaani Waziri huyo wa Uganda anataka kusema hakujuwa msimamo wa Nchi yake wakati M7 akitoa tamko la kupitisha bomba Tanzania? Kwani Waganda hawana collective leadership kila Waziri anasema la kwake. Au kaitwa chamber Serena Hotel wakafanya mazungumzo ya briefcase - mambo hayaeleweki eleweki hata kidogo.!!
 
Kuna habari ya tpdc imetolewa jamvini na imeelezea kwa kina kuhusu suala hili...

Itaongeza GDP ya nchi yetu na pia kupunguza utegemezi wa wahisani katika bajeti (hii itasaidia kukamilika kwa mipango ya serikali kwa muda pendekezwa ), ajira zitakuwepo, uwekekezaji utaongezeka na hii itakuwa fursa nyingine ya kiuchumi kwa jiji LA tanga na bandari yake pia..
Huu sio mradi wa kuupuuzia

Kazi kwetu kuboresha nguvu kazi yetu ili iendane na kasi ya maendeleo yetu....
Kama ni ushenzi sasa nasie niwakati wa kuufanya

Tuingie vitani na Kenya
Kuusaka mradi huu
Hakuna namna
 
Mods tusaidie kupandisha this comment juu.. Excellent briefing of the meeting
Uhuru anaonekana kukataa tamaa na kuvaa sura ya kuomba huruma kwa m7. Na sisi tutume ma expert wetu wakapangue hoja kwa m7 before its too late. La sivyo itakula kwetu coz uhuru is up for any thing,by hooks or crooks. We cant trust either m7 or uhuru. We can only relax when the construction begins!!
Hilo ndilo lamuhimu kwasasa
Tukomae
Kama safari za Kampala zianze
 
TATIZO LA KENYA NI AMANI NA MASHAMBULIZI YA MAGAIDI....TOTAL WAMESHAWAAMBIA KENYA HIYO BANDARI YA LAMU ITA-THREATEN MRADI MZIMA AS IKO KARIBU NA SOMALIA NA MAGAIDI IN GENERAL.
SIE TICKET YETU IPO KWENYE USALAMA WA MRADI NA AMANI NCHINI MWETU...GHARAMA ZA KUULINDA HUO MRADI KWA KENYA NI MARA 1000 YA GHARAMA KWA TANZANIA.
TOTAL WAMEJIFUNZA KWA WENZAO WA SHELL KULE NAIGERIA...POLITICAL INSTABILITY NA REGIONAL VIOLENCES ZIMEWARUDISHA SANA NYUMA SHELL.
Pia sio suala la kubweteka
Kinacho fanyika sasa sio udugu wala ujirani
Ni kuangalia faida utakayo pata

Niwakati sasa wa Tanzania kuamka, tuingie ktk mapambano mradi huu upite TANZANIA
 
Yap we can't sit back and waiting for the things to work out automatically...Kenyans ni opportunist kutuzid kutokana na ubepari wao wa muda mrefu lakini kwa kuwa mfumo wetu unaelekea huko..we have to dance with the same manner in this song

Tanzania is very promising when it comes to this issue due to the lower costs , good diplomatic relations and enough security...
Kenyans wanatumia kigezo cha costs so as to win this deal but we possess more than that so, we have to play our card smart because we have a better chance to win this deal than kenyans..

Tumefika hapa tulipo kutokana na ucheleweshwaji wa kukubali ombi LA uganda kutumia bandari ya tanga lakini hatujachelewa sana kwa kuwa a leader on top of us is opportunist as well so,its a high time for Tanzanians to change our ujamaa mindset ili tufanikiwe zaidi
Haya ndio mawazo yanayo takiwa kwasasa
Sio kukalia siasa zakipumbavu
Wakati fursa ndio hii tunaizembea
 
Back
Top Bottom