Boko Haram yawaachia huru mabinti 82

Kama ugaidi waislamu na wakristo wote ni watuhumiwa tutakuwa bega kwa bega kuupinga lakini ikiwa waislamu ndiyo watuhumiwa ktk hiyo kashfa basi sisi webgine tutakuwa nyuma yenu tukiona mnapinga hadharani kuwa hamhusiki.
Tuwe mbele wakati njia hatuijui.
Yaani wewe huoni ugaidi unaofanywa na nchi za magharibi? Hao waliopo kwenye migodi yetu hapa nchini ni waarabu. Waliowaua wacongo milioni 10 mauaji ambayo hayazungumzwi wala hayakuwekwa kwenye historia ni waarabu. Aliewaua wayahudi milioni 6 ni waarabu. Aliewaua wairaqi milioni 1.5 kwa mabomu ni waarabu. Yaani tukihesabu ugaidi uliofanywa na mataifa ya magharibi hatumalizi na leo. Lakini hamuwaoni. Na hao magaidi kuonyesha kuwa si waislamu ni kuwa watu waliouliwa na wao 99.9% ni waislamu wenzao. Cha ajabu alshabab wakifika kenya eti wanaua wakristo lakini wakiwa somalia wanawaua waislamu. Kea sababu mnapenda na mumepata sababu ya kuupaka matope uislamu endeleeni na uislamu hautayumba
 
Huku sisi tukiwa kwenye msiba mkubwa wa ajali ya Arusha kwanini huko Nigeria Ilikuwa ni siku ya furaha kubwa kwa wazazi ndugu jamaa hata marafiki baada ya serikali ya Nigeria kusalimu amri na kukubali masharti ya kundi la Boko Haram la kubadilishana wafungwa na mabinti waliotekwa
Ni miaka mitatu sasa tangu mabinti hao walipovamiwa shuleni kwao na maharamia wa Boko Haram katika mji wa Chibok ...kwa muda wote huo wazazi na hata ndugu waliishi kwenye sintofahamu kubwa kuhusiana na mustakabali wa watoto wao
Wamepitia mengi pengine mabaya kuliko mazuri.. Hakika wanaorudi sio wale walioenda kiufahamu na hata kiumri.... Walifundishwa mengi kwa nguvu, walifanyishwa kazi za kitumwa na walikuwa watumwa wa ngono kwa sehemu kubwa
Ni kushukuru kuwaona hai tena ni jambo la furaha sana lakini wanahitaji msaada mkubwa wa kiroho na kisaikolojia ili waweze kurudi katika hali yao ya awali., kimwili kiafya na kiakili
Sisi tunamalizia wiki kwa majonzi wenzetu wanamalizia kwa furaha
Kifo na uzima vyote hutokea kwa wakati mmoja... God knows better
d8aec10fab91d118d68008633cab7580.jpg
mabinti ndo wamesema hivyo kwamba waliishi kitumwa ,kufanywa ngono kwa lazima au ni fikra zako kutokana mazingira?
 
Yaani wewe huoni ugaidi unaofanywa na nchi za magharibi? Hao waliopo kwenye migodi yetu hapa nchini ni waarabu. Waliowaua wacongo milioni 10 mauaji ambayo hayazungumzwi wala hayakuwekwa kwenye historia ni waarabu. Aliewaua wayahudi milioni 6 ni waarabu. Aliewaua wairaqi milioni 1.5 kwa mabomu ni waarabu. Yaani tukihesabu ugaidi uliofanywa na mataifa ya magharibi hatumalizi na leo. Lakini hamuwaoni. Na hao magaidi kuonyesha kuwa si waislamu ni kuwa watu waliouliwa na wao 99.9% ni waislamu wenzao. Cha ajabu alshabab wakifika kenya eti wanaua wakristo lakini wakiwa somalia wanawaua waislamu. Kea sababu mnapenda na mumepata sababu ya kuupaka matope uislamu endeleeni na uislamu hautayumba
Hatuna mpango wa kuyumbisha uislamu maana waislamu ni ndugu zetu wa damu ila matendo ya makundi hayo yanayojinasibu kuwa waislamu ni wapendwa wenzao ndiyo yanayofanya tuseme haya.
Kenya magaidi kabla ya kufanya lolote walisema waislamu wote waondoke haraka sasa wewe unataka ushahidi upi.
Basi acheni kutumika na nchi za magharibi kama ni kweli.Iweje bokoharamu iwe ya mmarekani iwatumie waislamu kuua ilihali imani yao inakataza mauaji inahamasisha upendo.
Uislamu hauko kama matendo ya hao magaidi tunajua sasa semeni hapana mubashara tuwaelewe.
 
Huo ndio uislam. Kuchinja, kuiba na kuharibu. Hawana watoto? Au wameambiwa waache watoto ili waongeze nguvu kwenye kundi hili la mashetani?
huu ni uislamu ni kauli yako wewe ,naona unamwaga mboga sasa acha tupige teke na sufuria lenyewe...boko wamefanya haya wakishinikiza wenziwao watoke je MAPADRI "WANAOWALAWITI" WANAOWALAWITI WATOTO "WAKIUME" TENA "KANISANI KANISANI " NDO UKIRISTO????acha upuuzi wewe mshamba ulojawa chuki ya dini
 
Jamaa wapiga vitu mpaka wamezalisha ndio wanawaachia hapo hakuna binti tena kuna Agent wa Boko haram
 
Na ikiwa kweli nchi za kiislamu zina upendo kwa wapendwa wenzao kwanini wasomali ambao ni waislamu wanakimbilia south afrika ili waende uingereza,marekani na ufaransa kiurahisi wasikimbilie oman,afghanstan,palestina na dubai?.
Ujue waalipo wakristo ni amani tele na hata juzi raisi wa marekani amewapiga bann marufuku waislam kukanyaga nchini mwake mpaka mtakapoacha ugaidi.
Kwanini hajawazuia wa nchi za kikristo?.Tafakari chukua hatua mlango uko wazi.
Itakuwa uelewa wako mdogo sana.Huko nchi za kiarabu,Dubai,Oman,Katar,Kuwait,nk,Wakimbizi wa kisomali,wakiethopia,wapo wengi sana.Na hizo nchi za kiislamu,zinatoa mchango mkubwa katika mashirika ya umoja wa mataifa,likiwemo shirika la UN,la wakimbizi,michango hiyo ndio inayotumika dunia nzima kuwahudumia wakimbizi.Kwa hiyo hata mkimbizi,akikimbia nchi za ulaya,anatumia miongoni mwa michango na misaada kutoka nchi za kiislamu,kupitia shirika la wakimbizi la umoja wa mataifa.
Na lazima pia ujuwe,wapo wakimbizi wa aina mbili,wapo wakimbizi ambao hawakujihusisha na siasa wala chama cha siasa, wale wanakimbilia nchi jirani,kwa kukimbia vita au machafuko.
Lakini mkimbizi,aliyejihusisha na siasa,kwa kuhfia usalama wake,na familia yake,ndio hukimbilia nchi za mbali,ambazo anaamini madui wake,hawezi kumfuatilia,yeye na familia yake.
Kwa hiyo ufahamu,na uelewe ni mikataba ya umoja wa mataifa,pamoja na michango inayolipwa na nchi wanachama wa umoja wa mataifa,zikiwemo nchi za kiislamu,zinazolipa michango hiyo,ambayo michango hiyo inatokana na hao hao wakimbizi,walipokuwa wakifanyakazi katika nchi zao,na kulipia kodi na gharama kadhaa serekalini.Kwa hiyo nchi iminazopokea wakimbizi,sio hisani,ni mikataba waliotia wenyewe hizo nchi,na pia wanapata michango kutoka hizo nchi zenye wakimbizi,kupitia Un, kitengo cha wakimbizi.
 
Hayo mambo usemayo yapo zaidi nchi za kiarabu na hapa kwetu Tanzania yapo zaidi mikoa inayoongoza kwa uislam. Kwa mfano:Tanga na mikoa ya Zanzibar.

Kama ukristo unaendana na ushoga kwanini Ruvuma, Mbeya na Rukwa ambako kuna wakristo wengi hakuna mashoga wengi kama Tanga na Zanzibar ambako kuna uislam mwingi?
Si kweli kama wazungu hawakufika mikoa ya Pwani,na kupeleka ukristo,mikoa ya Pwani kuna makanisa ya kwanza na makubwa kuliko bara.Kama Zanzibar kanisa la kwanza,kanisa la Anglican,stone town,lilijengwa 1873,na ndio kanisa la kwanza kubwa na la aina yake.
Huko mikoa ya Pwani,ukristo pia upo.Kwa mfano Mkoa wa Tanga,wakazi wake ni nusu kwa nusu ni waislamu na wakristo.Wilaya ambazo zina waislamu wengi ni Lushoto,99%ni waislamu,hakuna ushoga wala 99%waislamu,hakuna ushoga wala hawaujui.Pangani 99% ni waislamu hakuna ushoga wala hawaujui,Mheza ni nusu waislamu nusu wakristo,hakuna ushoga,Korogwe nusu nusu kwa nusu.Mkinga waislamu wengi hakuna ushoga pia.Tang mjini ni mchanganyiko,waislamu na wakristo,hakuna ushoga,wapo wawili watatu,wa kikristo na wanaojita majina ya kiislamu(katika uislamu,ushoga ni haramu,na katika uislamu,unapotenda tendon kinyume na uislamu,uislamu wako unavyuka wakati huo huo,huhesabiki ni muislamu)
 
Waweza ukawa sahihi ktk maelezo yako juu ya uanzishwaji wa makundi hayo lakini swali linabaki pale pale lini waislamu walisimama kidete kuyapinga hadharani makundi hayo iwe opresheni misikiti yote.
Simaanishi waislamu wote ni wabaya,elewa hoja yetu.Tunahitaji kupinga lakini tunajua chanzo ni msikitini huko madrasa.
Ingekuwa makundi haya hayapigwi vita na waislamu.Wewe usingeishi kwa amani,,nina hakika unaishi na majirani waislamu,unafanyakazi nao,unanunua bidhaa kwao,wapo wakristo wanafanyakazi kwa waislamu,ulisikia lini hao au wewe umefanyiwa mabaya na waislamu
Hivi vikundi vya kigaidi,vinaundwa na wazungu,wasio waislamu,kwa kaslahi yao.Waislamu duniani wako billions,iweje katika hao 0000.1%ndio wafanye uhalifu kama ni uslamu ndi umewatuma.Au hivi vikundi havina nchi,wala serekali wala viwanda vya silaha,vinapata wapi silaha,nzito nzito za vita,kama hawapewi na nchi zinazotengeneza silaha.Zinduka,ujuwe dunia INA kwenda wapi.
 
Yawezekana kweli akili yangu hata fubza akawa ananiovertake lakini je akili yangu kuwa hivyo ndiyo kitenganishi kuwa alshababu siyo wapendwa wenzenu wanaopanga hila chafu wakiwa msikitini?.
Uislam na mwislamu ni kama mhindi na mbelewele kwa hiyo si tatizo.Siwezi kukwazika nawe kwa matusi bali naililia akili yako ipate kupona kutoka ktk utumwa wa dini na kuingia ktk imani sahihi ya kuleta amani,upendo,utu wema kama mtume wako alivyokuahidi.
Sasa huwezi kuwa huru bila kuivisha akili yako uelewa na ujenge hoja.Kuna mambo mnaogopa kuyasema hapa jukwaani.
Jiulize hawa hawana viwanda vya silaha,wala hawana nchi,wala serekali,wanapata wapi silaha?Kama ugaidi haufanywi na nchi zinazotengeneza silaha?
 
Watake radhi waislam!

Boko haramu ni kikundi cha kigaidi kinachotumia mwamvuli wa dini ya kiislam. Waislamu hawaungi mkono kabisa ugaidi

Ni kama tu sisi wakristo wanapotokea wahalifu wanaotumia jina la Yesu huku wakitumia nguvu za giza. Si umeona wachungaji kadhaa wakitoa mapepo kwa kupulizia watu dawa ya mbu? Je, huo ni Ukristo?

Dini zetu zote ni nzuri. Tatizo ni waovu wachache wanajificha kwenye kivuli cha dini kutekeleza maslahi yao ya kiuchumi, kiitikadi na kisiasa!
Umefafanua vizuri sana,hii post yako ni post bora sana,kwa mwaka huu.Maneno machache,yenye ufafanuzi mpana.Asielewa hapa,itakuwa shule kenda somea ujinga(Faiza Foxy)
 
Ingekuwa makundi haya hayapigwi vita na waislamu.Wewe usingeishi kwa amani,,nina hakika unaishi na majirani waislamu,unafanyakazi nao,unanunua bidhaa kwao,wapo wakristo wanafanyakazi kwa waislamu,ulisikia lini hao au wewe umefanyiwa mabaya na waislamu
Hivi vikundi vya kigaidi,vinaundwa na wazungu,wasio waislamu,kwa kaslahi yao.Waislamu duniani wako billions,iweje katika hao 0000.1%ndio wafanye uhalifu kama ni uslamu ndi umewatuma.Au hivi vikundi havina nchi,wala serekali wala viwanda vya silaha,vinapata wapi silaha,nzito nzito za vita,kama hawapewi na nchi zinazotengeneza silaha.Zinduka,ujuwe dunia INA kwenda wapi.
Waislamu tunaoishi nao mtaani ni wachache sana hawawezi kupandikiza lolote baya tena ni wema.
Haya huingizwa maeneo na nchi ambazo ni muslim majority.Kwanza bara hakuna uislamu uislam upo zanzibar na baadhi ya maeneo ya mwambao huku kwingine ubabaishaji mtupu.
Kule zanzibar wakati wa mfungo hakuna mgahawa wa kuwa wazi uwe mwislam ama mkristo sasa huko ndiko makundi hayo yanaweza kusastain kirahisi.
Angalia nigeria,somalia,iran huko ndo utajua uislamu halisi.
Usilinganishe waislam wababaishaji hawa tunaogonga kitimoto nao mtaani acha hao.
 
Ni muda muafaka wa waislamu duniani kote kujipambanua kujitofautisha kati ya uislamu na ugaidi,alshabab na uislamu,boko haramu na uislamu,ushirikina na uislamu.
Yawezekana wengine msielewe yaani makundi yote hapo juu yanafanya uharamia wote mchafu na hatuoni mataifa ya kiislamu yakipinga ujinga huo.
Leo hii ni nani mtakayempa injili yenu akawakubali?.
Simameni peupe mukatae na kuwapinga hawa magaidi.Leo nchi zote ambazo ni muslim majority amani hakuna angalia somalia,libya,misri,palestina,iran na kwingineko tabu tupu.
Hivi huyo Mungu mnayemwabudu yuko likizo?.
kuna jambo nyuma ya pazia...jiongeze...
 
Jiulize hawa hawana viwanda vya silaha,wala hawana nchi,wala serekali,wanapata wapi silaha?Kama ugaidi haufanywi na nchi zinazotengeneza silaha?
Iko hivi kama hujui,silaha zinatengenezwa na mataifa mengi duniani ya kiislamu na yasiyo ya kiislamu.Wanahitaji kuuza kwa yeyote kwa kuwa ile nibiashara.
Makundi yote hayo alshabab,bokoharamu na wadogo zake wote wanafanya biashara ya madawa ya kulevya.Wanauza na kusafirisha nchi mbalimbali.
Kwa njia hiyo wamejipatia pesa nyingi ambayo kununua silaha ya aina yoyote hata mizinga wanaweza.Maisha ni pesa.Makundi hayo yana pesa kwa njia ya madawa ya kulevya ongea swala lingine siyo ukosefu wa pesa kwao hawahitaji msaada hapo.
 
Mimi nataka ujenge hoja kwamba bokoharamu ni wapentekoste siyo waislamu ,isis siyo waislamu nimashahidi wa yehova,alshababu ni warc siyo waislam,alkaida ni wamoravian siyo waislam hapo nitakuelewa.
Kuvaa vazi refu kwa mwanamke bila kuvaa chupi haisaidii,kuficha uso wakati macho yanaona hakukuepushi usishawishike na unayoyaona.
Kufunika masikio yasionekane haimaanishi kuwa husikii unapoitwa ama kutongozwa,kutengana wakati wa ibada hakuzuii tamaa isipenye.
Huwezi kuzuia tamaa kwa kujenga ukuta,kuweka walinzi,kuvaa dela na mbwa wakali.Tamaa ikikuingia hata uwe ibadani utaanza kumuwaza hadija wa marekani na jane wa uswisi hata mawazo ya kumsikiliza shehe wala mchungaji hayatakuwepo tena.
Tamaa hutenganishwa na mindset yako pekee na siyo hayo mavazi.Mnatenda dhambi sirini lakini matokeo yanakuwa hadharani.
Tunajua leo wanawake wakibeba mimba zanzibar bila ndoa mnawatesa nusu ya kuua na ndio maana mkiwabebesha mimbanawaleta bara wajifungue na kuishi huku.Tunaona mengi.Nataka ujenge hoja niko nawe kolikoli.
ADOLF HITLER aliua watu wengi kupita hao book haramu....Israel wanaua watoto wa Kipalestina ni wakristo
 
Back
Top Bottom