Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 7,195
- 10,929
Takriban kwa miaka 23 iliyopita haikupita siku usisikie habari za kusisimua kuhusu mashambulizi ya Alqaida ,Boko haramu.Makundi hayo kila siku yalizalishwa vitoto vyao kuanzia Alshabaab kuteremka chini mpaka ISIS na vijukuu kama viel Saheli ni West Afrika.
Mitandao hiyo ilionekana kila siku kutanuka mpaka ikafikia maeneo Msumbiji na mashamba ya Kilombero nchini Tanzania.
Vinchi vidogo vidogo vilivyo wajumbe wa NATO kama vile Ureno navyo vilionekana kujishughulisha au kushughulika na vikundi hivyo kwani waliingia kati eti kulifunza jeshi la Msumbiji kupambana na Alshabaab.
Nigeria ikiwa ni nchi kubwa yenye kuheshimika kwa Afrika ikiwa na idadi kubwa ya watu kwa kila kilomita mraba moja ilishindwa kupambana na wanamgambo wa Bokoharamu ambao walitajwa kuteka watu na kujificha nao kwenye vichaka jirani na makazi ya watu.Kumbuka Nigeria ni nchi iliyo mpakani na Jangwa la sahara na halina misitu kama Tanzania.
Miaka karibu miwili tangu Urusi ianze kupigana na Ukraine na ambapo nchi nyingi za Ulaya na umoja wa NATO wameonekana kuiunga mkono Ukraine,mashambulizi ya makundi hayo yote yamekuwa hayasikiki sana.
Hata Nigeria imerudi tena kuwa nchi yenye amani kiasi.
Kwa upande wa Msumbiji wamerudi kutumia bandari zao zilizokuwa zimetekwa na Alshabaab