Nchi za Kiarabu ziko sahihi kutoishambulia Izrael, ni hatari kwao

Nkobe

JF-Expert Member
Feb 17, 2013
2,162
3,162
Ukisoma maoni ya watu mitandaoni hapa Tanzania , na mitandao ya kimataifa, hasa vyombo vya habari vya kimataifa, utaona watu kadhaa wanalaumu kwanini nchi za Kiarabu/Kiislam haziingilii vita ya Palestina na Izrael kijeshi ,kwanini viongozi wa Kiarabu hawaingilii mgogoro wa Izrael kijeshi.

Mimi binafsi naunga mkono nchi za Kiarabu/Kiislam kutoingilia kijeshi , kwanza tufahamu kuwa Izrael ni jimbo la 53 la Marekani kwa kuwa Wayahudi wengi wana Uraia wa Marekani na Uingereza, hivyo ukiwagusa umegusa wananchi wa Marekani. Ukimpiga Izrael, utapigwa na Marekani, utapigwa na Uingereza. Ndio maana baada ya shambulizi la Hamas lililoua Wayahudi 1200, manowari na Zana za kivita za Marekani zilisogea bahari ya Mediterania zikiwa tayari kulinda jimbo la 53 la Marekani

Kwanini Waarabu wanatakiwa kutoishambulia kijeshi Izrael?

Changamoto kubwa ya nchi za Kiislam, ukiongelea kitabu chao cha dini, umeongelea Siasa,hivyo huwa inakuwa changamoto kubwa kwao kuingia vitani pale ambapo utawala ukilega kwa sababu ya kivita, tayari makundi ya kidini yanaibuka. Mfano, leo hii Iran au Misri ikiingia vitani na Izrael, kwa vyovyote vile Marekani na Izrael wataishambulia Irani au Misri. Ikitokea serikali ya Iran imepigwa na kukosa nguvu, tayari makundi ya Kiislam yataingia kati na kutaka utawala wa Sharia, wataanza kuuwana wao kwa wao, imani kali zitaingia kati, Sunni atavaa bomu atalipua Shia msikitini, Makundi ya hitikadi kali a. k. a Mujahidin yataingia hapo. Hii tumeona Talban huko Afghanistan , ISIS Syria, Iraq, Libya. Al Shaabab Somalia, Boko haram huko Nigeria, na Makundi kadhaa West Africa

Hivyo, ili kulinda mataifa ya kiarabu/Kiislam yasisambaratike, kuivamia Izrael kijeshi sio option
 
Si wame Wakristo tu kama ndo hivyo. Maana sijui.. Hezbollah mara alqaida mara boko Haram mara Isis mara alshabab mara Islamic jihad. Khaaa hadi kero
 
Mataifa ya kiarabu yanaelewa fika kwamba hayana uwezo wa kupambana na Israel ktk medani ya kivita. Period.

Leo hii waarabu wakicheza Israel ana uwezo wa kulipua visima vyao vyote vya mafuta na gesi ndani ya masaa 24 na kuwalemaza kabisa kiuchumi.

Mataifa yote ya kiislamu yanapoamua kukaa pembeni na kumuacha Palestina apambane na hali yake yanafahamu nini yanafanya, hayabahatishi.

Wanafahamu kwamba kuna mawili, aidha wamwokoe mpalestina wafe wenyewe au wamuache mpalestina afe kivyake na wenyewe wapone na ndipo wanachagua chaguo la pili.
 
Ukisoma maoni ya watu mitandaoni hapa Tanzania , na mitandao ya kimataifa, hasa vyombo vya habari vya kimataifa, utaona watu kadhaa wanalaumu kwanini nchi za Kiarabu/Kiislam haziingilii vita ya Palestina na Izrael kijeshi ,kwanini viongozi wa Kiarabu hawaingilii mgogoro wa Izrael kijeshi.

Mimi binafsi naunga mkono nchi za Kiarabu/Kiislam kutoingilia kijeshi , kwanza tufahamu kuwa Izrael ni jimbo la 53 la Marekani kwa kuwa Wayahudi wengi wana Uraia wa Marekani na Uingereza, hivyo ukiwagusa umegusa wananchi wa Marekani. Ukimpiga Izrael, utapigwa na Marekani, utapigwa na Uingereza. Ndio maana baada ya shambulizi la Hamas lililoua Wayahudi 1200, manowari na Zana za kivita za Marekani zilisogea bahari ya Mediterania zikiwa tayari kulinda jimbo la 53 la Marekani

Kwanini Waarabu wanatakiwa kutoishambulia kijeshi Izrael?

Changamoto kubwa ya nchi za Kiislam, ukiongelea kitabu chao cha dini, umeongelea Siasa,hivyo huwa inakuwa changamoto kubwa kwao kuingia vitani pale ambapo utawala ukilega kwa sababu ya kivita, tayari makundi ya kidini yanaibuka. Mfano, leo hii Iran au Misri ikiingia vitani na Izrael, kwa vyovyote vile Marekani na Izrael wataishambulia Irani au Misri. Ikitokea serikali ya Iran imepigwa na kukosa nguvu, tayari makundi ya Kiislam yataingia kati na kutaka utawala wa Sharia, wataanza kuuwana wao kwa wao, imani kali zitaingia kati, Sunni atavaa bomu atalipua Shia msikitini, Makundi ya hitikadi kali a. k. a Mujahidin yataingia hapo. Hii tumeona Talban huko Afghanistan , ISIS Syria, Iraq, Libya. Al Shaabab Somalia, Boko haram huko Nigeria, na Makundi kadhaa West Africa

Hivyo, ili kulinda mataifa ya kiarabu/Kiislam yasisambaratike, kuivamia Izrael kijeshi sio option
Hizo nchi ukiitoa iran , zinategemea kile kitu kwa marekan , kuuza mafuta na kubadilushshana na silaha amna maajabu, na marekani amewapumbaza sana na hilio , huwez kuwa na jesha bora kwa kutegemea silaha kila za kununua
 
Ni vile hawana nguvu. Ila wangekuwa na nguvu ninauhakika wangemsaidia MWENZAO
Tatizo sio nguvu bali ni unafiki.Kwani Hizbullah na Houth wana nguvu kuliko Saudi Arabia,Jordan na Misri mbona makombora yao ya kutengenezwa kienyeji baadhi yao yamevuka iron dome na kutua ndani ya Israel kusini na kaskazini yake.
Fikiria kama hao tuliowataja watarusha sehemu ndogo ya maroketi ya kisasa waliyonayo kutabaki Israel kweli.
Na hiyo hali inaweza kubadilika wakati wowote iwapo Israel itaendelea kuua kama kichaa.Hizo nchi zina wakereketwa ambao wanaweza wakaibuka ghafla bin vuu kama Niger.
 
Mtu anazungumzia hezzbollar pale Lebanon.
Hizbolla walipigwa mwanzo tu wa vita walipojaribu kuingilia mpaka kwao mpakani.
Wakawekwa kiporo.
Sasa huku mnawaita mazayuni.
Hao njia ni moja hawakutoka kwa ajili ya Hamas.
Wataenda mbali zaidi.
Hapo Iran ndo mana kafunga mkia Lebanon anajua mziki wa hao watu.
Mmesahau alibondabonda vinu vya nyuklia pale bandarini Lebanon vikalipuka vikaua raia kibao.
Ni miaka miwili tu.
Na huyo General wa hezbolla kwenye msafara wake katoka Airport katunguliwa na sniper kilaini tu.
Na Nyau akatoa pole sana.
Yani wale wamewekwa kiporo tu.
Anamaliza usafi Gaza then atawafata huko wafadhili wa Hamas.
 
Ukisoma maoni ya watu mitandaoni hapa Tanzania , na mitandao ya kimataifa, hasa vyombo vya habari vya kimataifa, utaona watu kadhaa wanalaumu kwanini nchi za Kiarabu/Kiislam haziingilii vita ya Palestina na Izrael kijeshi ,kwanini viongozi wa Kiarabu hawaingilii mgogoro wa Izrael kijeshi.

Mimi binafsi naunga mkono nchi za Kiarabu/Kiislam kutoingilia kijeshi , kwanza tufahamu kuwa Izrael ni jimbo la 53 la Marekani kwa kuwa Wayahudi wengi wana Uraia wa Marekani na Uingereza, hivyo ukiwagusa umegusa wananchi wa Marekani. Ukimpiga Izrael, utapigwa na Marekani, utapigwa na Uingereza. Ndio maana baada ya shambulizi la Hamas lililoua Wayahudi 1200, manowari na Zana za kivita za Marekani zilisogea bahari ya Mediterania zikiwa tayari kulinda jimbo la 53 la Marekani

Kwanini Waarabu wanatakiwa kutoishambulia kijeshi Izrael?

Changamoto kubwa ya nchi za Kiislam, ukiongelea kitabu chao cha dini, umeongelea Siasa,hivyo huwa inakuwa changamoto kubwa kwao kuingia vitani pale ambapo utawala ukilega kwa sababu ya kivita, tayari makundi ya kidini yanaibuka. Mfano, leo hii Iran au Misri ikiingia vitani na Izrael, kwa vyovyote vile Marekani na Izrael wataishambulia Irani au Misri. Ikitokea serikali ya Iran imepigwa na kukosa nguvu, tayari makundi ya Kiislam yataingia kati na kutaka utawala wa Sharia, wataanza kuuwana wao kwa wao, imani kali zitaingia kati, Sunni atavaa bomu atalipua Shia msikitini, Makundi ya hitikadi kali a. k. a Mujahidin yataingia hapo. Hii tumeona Talban huko Afghanistan , ISIS Syria, Iraq, Libya. Al Shaabab Somalia, Boko haram huko Nigeria, na Makundi kadhaa West Africa

Hivyo, ili kulinda mataifa ya kiarabu/Kiislam yasisambaratike, kuivamia Izrael kijeshi sio option
Waarab wanawachukia sana Wayahudi / Israel ila hawana ubavu wa kuwapga hata kidogo ila wako tayari kusaidia nchi itakayoingia vitani na Israel
 
--Jiulize Americans wamepeleka jeshi pale Gaza kwa faida ya nani?
--Mataifa ya waarabu 80% ni vibaraka wa marekani isipokuwa Iran, Lebanon, Syria, Afghanistan.

Waarabu wanamwogopa marekani na genge lake na sio Israel..

Marekani na mataifa yote ya ulaya na vibaraka wao wapo pamoja na israel..
 
Tatizo sio nguvu bali ni unafiki.Kwani Hizbullah na Houth wana nguvu kuliko Saudi Arabia,Jordan na Misri mbona makombora yao ya kutengenezwa kienyeji baadhi yao yamevuka iron dome na kutua ndani ya Israel kusini na kaskazini yake.
Fikiria kama hao tuliowataja watarusha sehemu ndogo ya maroketi ya kisasa waliyonayo kutabaki Israel kweli.
Na hiyo hali inaweza kubadilika wakati wowote iwapo Israel itaendelea kuua kama kichaa.Hizo nchi zina wakereketwa ambao wanaweza wakaibuka ghafla bin vuu kama Niger.

Mkishakuwa wanafiki tafsiri yake hamna nguvu.
Wenye nguvu hawana haja ya kuwa Wanafiki (waoga)
 
Nchi za kiarabu wanao tawala wote ni vibaraka tu wa kimarekani na muingereza, Israel hana ubavu wa kupigana na ahamasi awe na ubavu wa kupigana na nchi za kiarabu.

Hamasi tu mpaa America na Europe wamemsaidia na wanaendelea kumsaidia.

Nasikia waziri wa Jeshi la Israel katekwa na Hamasi, sijui ni kweli au uwongo lakini dalili zinaonyesha ni kweli, nasikia anataka vita isimame na kakubali masharti ya Hamasi yote na video ya waziri huyo katika speech huyo ni fake kavaa sura ya waziri wa jeshi, dalili hio video

View: https://youtu.be/29trVNsii-w?si=T-a1VrXh__JN3KOe
 
Waarabu hawapo tayari mataifa yao yawe hivi

gettyimages-1752139716_custom-3689b350517c649aa9ba13127900f3538ab17c92-s1100-c50.jpg
 
Ni upuuzi tu na uoga wa kijinga wale watu wa far east wenyewe hawana huu ujinga ukiwachokoza hawaweki kiporo hata uwe marekani sio hao waarabu na unafiki wao huyo marekani unaye fikiri anaogopwa uliza alichofanywa Korea na Vietnam. Achana na hao waarabu wajinga
 
Hizo nchi ukiitoa iran , zinategemea kile kitu kwa marekan , kuuza mafuta na kubadilushshana na silaha amna maajabu, na marekani amewapumbaza sana na hilio , huwez kuwa na jesha bora kwa kutegemea silaha kila za kununua
Vipi,wewe umepumbazwa na nani, Quran,ccm, Act, au Cuf
 
Back
Top Bottom