Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 36,155
- 30,832
Inasikitisha sana kumuona amechoka phisically na kwakweli mentally ni kama yupo confused.
Mbaya zaidi, mamluki na wafuasi wake ndio wanaonyesha kuchoka na kukata tamaa zaidi, licha ya kuhamasishwa kwa vitendo na mtuhumiwa wa uhaini mwenyewe eti waonyeshe furaha na ujasiri ambao wote hawana na haijulikani wanamuonyesha nani licha ya kupuuzwa tangu aanze drama mahakamani.
Majuto ni mjukuu, muhaini anajutia uropokaji wake unaokiuka sheria za nchi ambao ni wazi unakwenda kumtia hatiani pasina shaka yoyote.
Sheria ni msumeno,
Ishara zote za kisheria ziko wazi kwamba kuna kibaraka anakwenda kushikishwa adabu kisheria kwa kutiwa hatiani na kupewa haki ya hukumu anayostahili kulingana na makosa yake katika muda usiokua mrefu ujao.
Itakua ni fundisho muhimu sana kwa raia wenye tabia za kubebwa ufala wa kifikra kirahisi tu na kufanywa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi kwa lengo la kupindua serikali na kuharibu nchi kwa maslahi ya hao mabwenyenye. Tabia hiyo mbaya zaidi na isiyo ya kizalendo nchini, inakwenda kufika mwisho, kuzikwa na kukomeshwa kabisa Tanzania.
Mungu Ibariki Tanzania,
Mungu Ibariki Mahakama huru na ya haki ya Tanzania.