BodaBoda date-out or delivery?

πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Mpaka huko wapo?
Kumbe ni nchi nzima.

Sasa ukifika si utakuwa umechoka sana 😝
Hutaweza ku perform vizuri
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ tuta perform chini ya kiwango wote, si tutakua tumechoka Pa1.
 
Achana na date.

Mimi hata kwa usafiri wa kawaida tu sijawahi na nafikiri sitapanda bodaboda.

Bora hata Bajaji.
Hapa umebugi! Ungekuwa Dar, usingetoa kauli hiyo. Kuna wakati wa kwenda Airport na foleni imebana. Utaikwea tena kwa kumshukuru Mungu kwa kuipata hiyo bodaboda. Mifano ni mingi sana
 
Iwe Kwa, miguu,baiskeli, pikipiki,ngamia gari vyovyote vile,,inategemea na uwezo wangu ndio maana tunaambiwa tujikune tunapofikia,,hata mpenzi au mke namchagua wa level zangu Mambo yasiwe mengi full stop
 
Kila mtu afike na Usafiri wake,

NB: Kuna kikundi cha watu kitapinga hii kauli, Kikundi hicho hata boda boda hakitaki kupanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…