Mkuu,Kwa suala la usalama boda boda hapana Kwa kweli , Bora hata upate ajali then ufe unaweza kupata ajali kufa haufi ukaishia kukatwa mguu au ukapatwa na stroke ya kudumu ukaishia kuishi kwenye mateso mazito maisha Yako yote
Eti Kuna jasho Kwa watanzania 😆😆🙌
Inategemeana na destination lakini hata pawe jirani vipi haiwez kuwa chini ya 15kShi ngapi Maweed 😅😅😅
Mzee wa busara.Tunazipanda na hamtuambii kitu, kila mtu kwa urefu wa kamba yake, wa boda apande, wa bajaj nae na mwenye uwezo wa kiyoyozi nae apande, muhimu tumetoka date, tumekula tukashiba halafu tukaenda kula...
Wa kiyoyozi nae kala halafu akaenda kula...ngoma droo!
Bora kutembea au bajaji,Mkifika macho mekundu Hadi hamu imeisha 😝
Bodaboda jau sana, ila sasa kuna sehemu hazina daladala wala bajajiAchana na date.
Mimi hata kwa usafiri wa kawaida tu sijawahi na nafikiri sitapanda bodaboda.
Bora hata Bajaji.
Mzee wa busara.
Heshima Yako 😝
Ndiyo,ingekuwa ajali mbaya,niliona navutwa nguo imejiviliga kwenye taili,uzuri kitambaa kulikuwa laini yaani ok likiwa inachanika,,,,nikamshtua boda😁😁,gauni limebaki roboImewahi kukukuta Nini😀
Lakini si utakula kwanza ushibe ukaoge unakunywa na wine hapo unakua na nguvu,midadi na nyege juuUtafika uso umechoka.
Halafu ukachoke Tena 😅