realMamy
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 7,305
- 18,234
- Thread starter
- #161
Umenena vemaMimi sijawahi kupanda bodaboda. Naziogopa. Natumia gari,bajaj,daladala au natembea kwa miguu. Wengi hasa mjini wanapanda bodaboda kwasababu HAWAPENDI daladala na hawana hela ya Bolt na wengine uvivu tu. Mtu anaenda umbali wa 500m au 2km hataki kutembea anarukia bodaboda. Mtu anatoka/anaenda kituo cha daladala hakifiki hata 1km anapanda bodaboda, sometimes ni mazoea tu wala sio ulazima.