Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 20,023
- 61,233
Hayo ndiyo maneno sasa 🤗Sawa nakuja mwenyewe 😜
Hayo ndiyo maneno sasa 🤗Sawa nakuja mwenyewe 😜
🤭 Kuwa na imani na WazeeMuone anavopenda
Sasa kama sio njaa unataka mtu aite bolt na ukitoka peke yako una print si ni njaa hizo.Njaa inaingiaje kwenye usafiri?
Vijijini Kuna out gani?
Nzi lazima afie kwenye kidonda 🤭Usije ukatangazwa kwenye vyombo vya habari
Sijui wanaofake.Sasa kama sio njaa unataka mtu aite bolt na ukitoka peke yako una print si ni njaa hizo.
Outing ziko kila mahali kulinga na mazingira na uwezo. Kule kijijini unatoka na mtoto mnaenda kando ya mto Mna enjoy sana maana hakuna ku fake.
Kwa hiyo huko vijijini hakuna watu? Wote mko mjini eti?Sijui wanaofake.
Unafake Ili wewe uumie au nani aumie?
Kijijini nani Yuko huko Sasa hivi?
Nakumbuka siku moja nawahi Airport, foleni imekaza. Dereva aliniambia, boss huna ujanja, Chukua BODA. Huwezi amini nisingechukua ushauri wa Dereva, ndege ingaliniacha. Imagine koti na tai na lisanduku katika bodaboda! Tuyaache yamepitaKwa nini
Hakika Mkuu watu wanafuata mkumbo tuNdio ilimradi tu kuna hisia za upendo ndani yake hata mkikaa kwenye msitu ni bonge la out, hizi out za kulazimisha kwenda Serena hotel mara nyingi huwa ni show off zile hisia za upendo zinakuwa hamna
Pole sana jamaniNakumbuka siku moja nawahi Airport, foleni imekaza. Dereva aliniambia, boss huna ujanja, Chukua BODA. Huwezi amini nisingechukua ushauri wa Dereva, ndege ingaliniacha. Imagine koti na tai na lisanduku katika bodaboda! Tuyaache yamepita
Shikilia hapo hapo.Kwa hiyo huko vijijini hakuna watu? Wote mko mjini eti?
Kama unajijua mizunguko yako kila siku ni ku print au boda, halafu ukipewa outing unataka bolt una FAKE.
Maana kama una uwezo wa gari utatumia lako hutalalamika kuhusu usafiri.
Nilisahau JF wote matawi ya juu.Shikilia hapo hapo.
Sisi wengine hatuko kijijini.
Mimi sijawahi kupanda bodaboda. Naziogopa. Natumia gari,bajaj,daladala au natembea kwa miguu. Wengi hasa mjini wanapanda bodaboda kwasababu HAWAPENDI daladala na hawana hela ya Bolt na wengine uvivu tu. Mtu anaenda umbali wa 500m au 2km hataki kutembea anarukia bodaboda. Mtu anatoka/anaenda kituo cha daladala hakifiki hata 1km anapanda bodaboda, sometimes ni mazoea tu wala sio ulazima.Mimi natumia, nazingumzia kwa hawa wenzetu wanaosema hawawezi kupanda boda
Tena wakati nasema hivi nilikuwa nakufikiria wewe niliwahi kuona umesema mahali kuwa kamwe huwezi kupanda boda. Ni kweli wengi wanajiendekeza tu ila kuna sehemu bila kupanda boda hutoboiMimi sijawahi kupanda bodaboda. Naziogopa. Natumia gari,bajaj,daladala au natembea kwa miguu. Wengi hasa mjini wanapanda bodaboda kwasababu HAWAPENDI daladala na hawana hela ya Bolt na wengine uvivu tu. Mtu anaenda umbali wa 500m au 2km hataki kutembea anarukia bodaboda. Mtu anatoka/anaenda kituo cha daladala hakifiki hata 1km anapanda bodaboda, sometimes ni mazoea tu wala sio ulazima.
Tatizo Wabongo mtu ukisema huwezi kupanda bodaboda wanaona kama unajikweza. Sipandi bodaboda kwasababu naziogopa pia nina option ya gari,daladala,bajaj. Siku nikiwa kwenye situation between death and bodaboda nitapanda bodaboda. Ila sijui naenda kariakoo au nishuke kwenye daladala nipamde bodabpda kutoka kituoni hadi nyumbani,NEVER.Tena wakati nasema hivi nilikuwa nakufikiria wewe niliwahi kuona umesema mahali kuwa kamwe huwezi kupanda boda. Ni kweli wengi wanajiendekeza tu ila kuna sehemu bila kupanda boda hutoboi
Ila wewe bwana...mimi hata sipo huko, unanijua mimi sipo hivyo. Hata siku ile nakumbuka nilikuambia never say never ukakaza ukasema huwezi hata iweje 😁 hilo la life and death situation ndio nalisikia leoTatizo Wabongo mtu ukisema huwezi kupanda bodaboda wanaona kama unajikweza. Sipandi bodaboda kwasababu naziogopa pia nina option ya gari,daladala,bajaj. Siku nikiwa kwenye situation between death and bodaboda nitapanda bodaboda. Ila sijui naenda kariakoo au nishuke kwenye daladala nipamde bodabpda kutoka kituoni hadi nyumbani,NEVER.