😅😅😅😅Si ndo hivo Babu yangu kipenziMjukuu naona lengo lako ni sisi Wanaume tusio na magari tuachwe sio🤪
Miaka yetu ya 47 out ilikuwa mnatembea kwa miguu mnaenda vijiji jirani huko mbali
Hapo bibi zenu wametia nywele "kalkiti" huku amevaa kitenge kipya mnatembea mnashikana mikono
Mchawi ni mvua tu, maana curly hairstyles hazihitaji kunyeshewa mvua
Miaka hii usipokuwa na gari na unamiliki msichana mrembo, basi jiandae kuchapiwa na wenye magari 🙌
Kuliko kubambiwa vindimu vyangu kwenye daladala mix foleni heri nipande boda boda aisee nitaoga nikifikaHiyo ni kufanya mambo yasiwe mengi 😅
Kwa kweli ukiwa na baby mkali na hauna usafiri (gari), kama mkeo hatokuwa anajiheshimu possiblity ya yeye kuliwa na wenye magari ni kubwa sana hasa kwa nyakati hizi😅😅😅😅Si ndo hivo Babu yangu kipenzi
Gari hata kama ndogo au mbaya Ina umuhimu wake 😝Kwa kweli ukiwa na baby mkali na hauna usafiri (gari), kama mkeo hatokuwa anajiheshimu possiblity ya yeye kuliwa na wenye magari ni kubwa sana hasa kwa nyakati hizi
Sisi zamani tamaa ya bibi zenu ilikuwa kwa Wanaume waliokuwa wanamiliki baiskeli, maana magari tuliyokuwa tukiyaona yalikuwa ni ya Serikali tu 😅