BodaBoda date-out or delivery?

BodaBoda date-out or delivery?

Bora bajaji, hizi boda boda ni risk sana kwa safari ndefu
Kama tupo na beibe na hatuna gari, tutarequest tu bajaji
Hiyo bajaj haina risk?
Kila kitu maishani kina risk zake, hata wewe na baby wako kila mmoja ni risk kwa mwingine.
 
Kuna high, na low risk
Atleast bajaji mwendo wake sio wa mateka kama boda boda. Halafu upepo na kuchafuka vumbi
Nimekuelewa kwenye upepo na vumbi.
Kuhusu mwendo unatakiwa kumpa maelekezo maana wewe ni mteja wake, usimpe uhuru ya kukimbia apendavyo.
 
Mjadala mzuri sana huu ila ninachokiona umemfanya mwanamke kuwa kama kiumbe wa kudekezwa sana (kumradhi kwa kutumia lugha hiyo). Kwa hakika asili inamsoma mwanamke kama kiumbe anayeamua yeye na siyo mwanaume.

Angalia hii, Sisi wanaume tunatongoza, tunahonga n.k lakini anayeamua kukubali au kukataa kwa namna yoyote ile ni mwanamke. Mwanamke siyo wa mchezomchezo katika msingibwa asili.

Tatizo lilipo ni kuwa leo tunamtafsiri mwanamke kwa kutumia utamaduni badala ya asili. Mwanamke ndiye anayeamua au mwenye wajibubwa asili wa kiamua aina ya mazingira yake kwa kujua au kutojua. Utamaduni umetufundisha jambo linalopingana na asili.
.............
 
Tatizo wadada mnaendekeza sana njaa.
Hivi mkiwa kule vijijini kwenu hizo outing huwa mnapanda usafiri gani?
Au wanawake wa JF wote mko daslam?
 
Back
Top Bottom