Binti wa mkuu, ndani ya UDOM tena

Binti wa mkuu, ndani ya UDOM tena

Matatizo ya baba , tusiyahamishie kwa mtoto, kila mtu abebe msalaba wake
 
Tanzania haishiwi vituko, mwanafunzi ana disco baada ya miezi michache anarudishwa chuo kwasababu ni mtoto wa mkuu.
 
Nakumbuka huyu kijana amemaliza UDOM mwaka huu, na application ya graduate deadline ilikuwa mwezi wa saba. Matokeo ya undergraduate yalikuwa bado.

Reffer to this pic
2bcc930d995286fda39ce9e9ee2ac8db.jpg


Najiuliza walitumia vigezo gani kumchagua?
 
Walisema amedisco mpaka Dean akathibitisha amewezaje kumaliza tena na kuendelea na masters.
 
Hey Boss, tuliza munkari. Inshu hapa is NOT about Jesica anasoma wapi au chuo gani, hata kiwe chuo cha kata... I ain't give a shit.
The primary concern here ni ukilaza wake! Go figure.

-Kaveli-
Ndugu, bado hujatambua kuwa maendeleo ya nchi yanahitaji miujiza?
 
Jamani hebu tuwe wakweli
Hivi unaweza muacha mtoto wako ateseke kisa tu hutaki watu waongee
 
Ndio maana ma Prof. na Ma Dr. wa nchi hii wana mchango mdogo kwenye maendeleo.
 
Hongera sana piga shule hadi PhD non stop ukimaliza uchukue kitengo.
 
mkuu umechangia kwa hisia Kali, nimeona wivu SNA kijana mwenzangu akiwa na elimu ya juu ktk umri mdogo...mzee wang angekua na hakiri hakika ningekua mbali sna Leo hii
Ndg Bunchari hebu Muombe baba yako radhi. Yaani unaona baba yako hana akili kwasababu hujafika mbali? Una laana wewe. Asingekuwa na akili usingejua hata kuandika huo upupu. Yeye kafanya aliyoweza nawewe jiendeleze si ushakuwa mtu mzima!!!
 
Back
Top Bottom