Binti wa mkuu, ndani ya UDOM tena

Binti wa mkuu, ndani ya UDOM tena

5d1b254caa0a457107688134cf1351ca.jpg
Weka na namba yake basi mkuu,nimpe hongera
 
Jesca hakudisco UDOM sema kuna haters walifoji habari na kuzieneza. Hata hivyo utata uliopo ni kuhusu namna alivyoweza kuchaguliwa kusoma bachelor maana inaonesha alifeli form four kwa kupata division 4 na hakuna kumbukumbu za yeye kusoma advance (form 5 &6)
 
Hajaingia direct kwenye bachelor
 
Mkuu Si alisema hicho chuo ni cha Vilaza na chuo pekee anachokiheshimu ni UDSM tu
Mkuu hajasema hivyo. JPM anaupendeleo maalum wa vyuo vya serikali na bila shaka UDSM ambako amesoma yeye, lakini hajasema UDOM ni chuo cha Vila
Jesca hakudisco UDOM sema kuna haters walifoji habari na kuzieneza. Hata hivyo utata uliopo ni kuhusu namna alivyoweza kuchaguliwa kusoma bachelor maana inaonesha alifeli form four kwa kupata division 4 na hakuna kumbukumbu za yeye kusoma advance (form 5 &6)
Mkuu huyu alipitia certificate/diploma route ambayo ukifaulu vizuri diploma (enzi hizo GPA ya 2.7 na sasa toka Baba Jesica/Ndalichako wameingia ni 3.0 course zisizo za afya) unaweza kupiga degree. Ni kweli anaufaulu hafifu lakini sheria zetu zinaruhusu na ni wengi tu wamefaidika na njia hii hata kama wengi wetu huenda hatuifahamu.
 
Mkuu hajasema hivyo. JPM anaupendeleo maalum wa vyuo vya serikali na bila shaka UDSM ambako amesoma yeye, lakini hajasema UDOM ni chuo cha Vila

Mkuu huyu alipitia certificate/diploma route ambayo ukifaulu vizuri diploma (enzi hizo GPA ya 2.7 na sasa toka Baba Jesica/Ndalichako wameingia ni 3.0 course zisizo za afya) unaweza kupiga degree. Ni kweli anaufaulu hafifu lakini sheria zetu zinaruhusu na ni wengi tu wamefaidika na njia hii hata kama wengi wetu huenda hatuifahamu.
Tatizo lipo hapo ukiangalia mwaka aliomaliza form four na alioingia chuo ni interval ya miaka 2 je inawezekanaje kusoma certificate na diploma kwa mwaka mmoja? Hilo ndiyo lililoleta utata
 
Ila uyo mtt ni mkali,,cku zngekua znarud ngerud ili nijieke kwa mtt wa bos kubwa
 
Tatizo lipo hapo ukiangalia mwaka aliomaliza form four na alioingia chuo ni interval ya miaka 2 je inawezekanaje kusoma certificate na diploma kwa mwaka mmoja? Hilo ndiyo lililoleta utata
2012/13 certificate, 2013/14 Diploma, 2014-15-16-17 BA, 2017 MPA (Hii ya kwangu ni educated guess, kama una data ya uhakika ya miaka weka tuelewe lilitokea. Data yangu inaonyesha kinadharia inawezekana kama aliingia chuo 2012).
 
Kaka unajua hesabu? Unajua certificate ni muda gani na diploma muda gani? Mtu anaweza kusoma certificate na diploma kwa miaka miwili nchi hiihii au unaongelea nchi gani?
 
Amemaliza form four october 2011 matokeo yametoka 2012 ameanza digrii 2014 October interval hapo ni miaka miwili
 
Kaka unajua hesabu? Unajua certificate ni muda gani na diploma muda gani? Mtu anaweza kusoma certificate na diploma kwa miaka miwili nchi hiihii au unaongelea nchi gani?
Nimeweka hesabu zangu, weka za kwako tuziangalie.
 
Mkuu hili haliwezekani-UDOM pia wanajua lazima walinde hadhi yao, hawawezi kumchukua mtu aliye disco na kumpeleka masters. Pili sijaona evidence kuwa huyu binti kweli alidisco ni watu tu waliandika hapa.

Chuo kilithibitisha kuwa kaondoka chuo kwasababu alifeli na yeye mwenyewe aliondoka chuo kwa mda wa week 3 ndio akarejea tena kuendelea na masomo. Kitu kama haujui bora ukakaa kimya.
 
Madikmteta huwa wanawaandaa watoto wao waje kuwaachia madaraka....
Hiii ni dalili mbaya
 
Back
Top Bottom