Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,130
- 48,862
2014-2017 kamaliza BA-sawa, 2017/18 adahiliwa MPA. Kinachokosekana ni ushahidi kuwa alidisco. Kuondoka wiki 3 inawezekana kwa sababu tofauti, kuna mahali ulisema kajiondoa mwenyewe na hapa unasema alidisco hivi ni vitutofauti, nafikiri hata wewe huna hakika hapo. Bado kuna gap ya 2012-2014 alikuwa wapi anafanya nini? Kuna alieuliza kama kamaliza 2011 majibu yakatoka 2012-ameingiaje UDOM degree 2014? Hapa ndio naona kuna kizungumkuti.
Acha ubishi usiokua na msingi.