tinkanyarwele
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 2,008
- 1,955
Nadhani ana haki ya kusoma sanjari na watanzania wengine, labda mtuambie kama hakuwa na sifa za kundelea na masters kwa wakati huu hapo nitawaelewa. Hivyo kama anazo sifa sidhani kama ni tatizo jamani