Masiya
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 7,602
- 7,344
Mkuu inaelekea uko sawa kuna mwaka wa masomo mmoja umepungua. Kuna haja ya kujua nini kilitokea kwani sitegemei chuo kimrushe mwaka mzima. Swali alianza na certificate au alirukia diploma?Amemaliza form four october 2011 matokeo yametoka 2012 ameanza digrii 2014 October interval hapo ni miaka miwili