Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,986
- 189,587
Acha apige kitabu
Kwani mimi nimesemaje hapo? Umeelewa nini?Ungekuwa wewe ungefanyaje kama mwanao anaelimu? Huoni anayofanya Trump?
Graduate degree programs sio under graduateMbona kama ni undergraduate sio master's.
All in all kilalakheri
Mwanangu UncleBen km vp jilipue awe mchumba mwisho wa cku awe Le Wife wako.Hahahahaaaaa!!cpat picha mkwe wa muzee aisee unaweza kua unapata papuchi huku unawaza ww ni mchochezi ama ni mzalendo kwa kuijaza TanzaniaHahah Jesikaaa akitoka hapo utasikia ni Afisa uhusiano wa wizara ya mambo ya nje ama BOT ndio hivyo njia nyeupe tayari..
Kapicha itapendeza zaidi
Hahaha mwanangu na kifaa changu kimoja mpaka kifo kitutenganishe huyo labda awe kazi za njeMwanangu UncleBen km vp jilipue awe mchumba mwisho wa cku awe Le Wife wako.Hahahahaaaaa!!cpat picha mkwe wa muzee aisee unaweza kua unapata papuchi huku unawaza ww ni mchochezi ama ni mzalendo kwa kuijaza Tanzania
Ndio jesca huyu??? Mtoto mkali na hapo katoka kuamka
Uchawi upi wa kumzidi baba J??Mbn mna element za kichawi, kufuatilia maisha ya watu. Waswahili wana tabu
Hivi dingi yake si ndio alikiita UDOM chuo cha kata!!?Mbona Udom tu kuna nini! Hakuna vyuo vingine?