Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,869
- 29,059
Mkuu inamana wewe huna matokeo yoyote ambayo ni yako kuweza kumuonyesha uyo mwanao?Mwenye matokeo yake yaliyopita msaada please, nataka nimuonyeshe mwanangu ili kum- encourage nae akaze buti