G
guest-1791669434
Guest
Wahitimu wa shahada ya uuguzi kutoka UDOM wanakabiliwa na changamoto ya incomplete kwenye matokeo yao ya mwaka wa pili hali inayosababisha matokeo yao kucheleweshwa TNMC na hivyo kukosa uhalali wa kufanya maombi ya utarajali yanayotakiwa kuanza tar 1 november.