General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,317
- 23,192
Ngoja nifanye application na mimi hapo UDOM
Sasa Dean na matokeo ya wanafunzi wapi na wapi hadi ayajue. Inaonekana hata huko chuo hujafika, ndiyo maana habari ile uliiamini directly. Dean hana uwezo wa kuyajua matokeoWalisema amedisco mpaka Dean akathibitisha amewezaje kumaliza tena na kuendelea na masters.
Uyu alidisco hapohapo Udom, imekuaje anasoma masters?
Tulimsifu Nyerere kupeleka watoto wake vyuo vya hapa nchini hivyo sioni tatizo liko wapi binti huyu kwenda UDOM.Ndo ujue kuwa wtz ni majungu na utoto. Mada ya mtoto wa Rais kwenda dodoma ilikuwa ni kitu positive hata kwa watoto maskini. Ni encouragement kwa wote tunaodhani Elimu yetu sio Bora na tunaenda Dom kwa kuwa wazazi wetu maskini. Ila basi kwa kuwa negatives zimejaa mnajifanya hamuoni hili. Ni uchawi huuu. Na hamtabaki salama kwenye nafsi zenu zenye KUTU.
Mkuu watu wana malengo na uwezo tofauti.Kwa mtazamo wangu MA/MSc inapendeza zaidi kusoma nje ya nchi.
Sasa Dean na matokeo ya wanafunzi wapi na wapi hadi ayajue. Inaonekana hata huko chuo hujafika, ndiyo maana habari ile uliiamini directly. Dean hana uwezo wa kuyajua matokeo
We nae..... MhhhMbona kama ni undergraduate sio master's.
All in all kilalakheri
Mkuu hili haliwezekani-UDOM pia wanajua lazima walinde hadhi yao, hawawezi kumchukua mtu aliye disco na kumpeleka masters. Pili sijaona evidence kuwa huyu binti kweli alidisco ni watu tu waliandika hapa.Siyo kwamba UDOM ni kwaajili ya watoto masikini la anashangaa mtu aliye DISCO anaendelea na Masters kwenye chuo hicho hicho maana waliyo DISCO wenzake wameanza kusoma upya digrii ya kwanza yeye anaendelea. Tanzania nchi ya maajabu pamoja na kupata raisi mtetezi wa wanyonge mpenda haki n.a. mazuri yote cha ajabu wanaanza kuinajis elimu.
He Mwanaasha alipelekwa kwenye university za hapa na div 4 yake ya Feza? Tuanzie hapo wasiwasi wetu tusiwe na wataalamu wa ajabu huko mbele wanapelekwa tu kwa nyadhifa za baba zao. Tukajenga kizazi cha wajinga. Huyu alikuwa na div 4 ya St Matthew Is DISCO UDOM sasa Masters UDOM kwa hiyo hizi ndiyo qualifications za kuingia masters?
Dean ahusiki kutambua hizo disco usidandie mambo, matokeo kwa HODUnajua Dean ni nani? Uyu mtoto alifeli na nilithibitishiwa ma dogo anaetembea nae. Na jana nilimuuliza akasema ni kweli dogo karudi UDOM kuchua Masters.
Mkuu kuna kitu inaitwa provisional admission au admit pending meeting admision criteria. Wanaangalia partial transcript yako kama iko vizuri wanakupa admission lakini itathibitishwa tu pale utakapo leta matokeo kamili. Hii iko SUA, iko UDSM. No wonder yeye yuko batch ya pili (hapa na speculate based on your information). Na sio hivyo tu-vyuo hutangaza kitu inaitwa late applications.Nakumbuka huyu kijana amemaliza UDOM mwaka huu, na application ya graduate deadline ilikuwa mwezi wa saba. Matokeo ya undergraduate yalikuwa bado.
Reffer to this pic
![]()
Najiuliza walitumia vigezo gani kumchagua?
hahahaaa...soon utamkuta BOT huyu..
Huyu dame sumjui mwenye kapicha atupiemo fadhari
mbona huyu kama mnyarwanda mkuu?