[emoji122] [emoji122] chuo ni mali yao na nchi ni mali yaomtake msitake, awe na vigezo au asiwe navyo atasoma tu. uyu n mtot wa rais tofaut na watoto wa wakulima uko
[emoji122] [emoji122] chuo ni mali yao na nchi ni mali yaomtake msitake, awe na vigezo au asiwe navyo atasoma tu. uyu n mtot wa rais tofaut na watoto wa wakulima uko
Hivi wakuu yule mtoto wa mstaafu kikwete aliye taga yai form four yake yupogo wapi siku hzi????
Huko ni kujifariji tuYote maisha. Wote tulitoka sehemu moja na wote tutarudi sehemu moja. Yote yaliyobaki ni ubatili na kujilisha upepo.
Nani kakufundisha kuwa Ukipata Div 4 Maana yake huwezi kupata Shahada ya Pili?He Mwanaasha alipelekwa kwenye university za hapa na div 4 yake ya Feza? Tuanzie hapo wasiwasi wetu tusiwe na wataalamu wa ajabu huko mbele wanapelekwa tu kwa nyadhifa za baba zao. Tukajenga kizazi cha wajinga. Huyu alikuwa na div 4 ya St Matthew Is DISCO UDOM sasa Masters UDOM kwa hiyo hizi ndiyo qualifications za kuingia masters?
Huwa ana pic moja pekee?? Au ndo mlifanikiwa kudukua hii pekee ake? Coz kila thread inayomhusu mnatupia hii,, il wabongo kwa umbea siwawezi
2020 naye tunamtumbua vyeti feki. Acha ale raha sasa ila machungu huwa yana enda vizazi hadi vizazi. Mama yake kashindwa kumwambia mumewe kuwa blood ya mtu siyo! Haki ya nani hata wao watalia kama watoto wa fulani wanavyolia sasa!Mwenye nacho huongezewa mbali asiye nacho hunyang'anywa hata kile kidogo.
Kweli Mkuu watu wana roho mbaya sanaHata angeamua kukaa nyumbani asiende shule bado angekuzidi kimafanikio so acha roho ya kwanini.
Ni sawa kabisa ...ww ulitaka awe kuli??Hahah Jesikaaa akitoka hapo utasikia ni Afisa uhusiano wa wizara ya mambo ya nje ama BOT ndio hivyo njia nyeupe tayari..
Kapicha kake kangenogesha story.Asome.hata phd
haha dogo alitanga lakini ana magorofa na mahotel, magari ya abiria na hisa za kutosha kwenye makampuniKimaisha anamzidi Prof Wako aliekufundisha Chuo Kikuu!
Hii picha tumeichoka leteni nyingine hata akiwa na Tait au kichupi sawa tyu
Mkuu alipodisko alienda uganda kumalizia masomo yake...akawa awarded degree yake mwaka huo. So this academic year kaomba masters....Uyu alidisco hapohapo Udom, imekuaje anasoma masters?
Hata mi naamini mzee wako kizibo .....vinginevyo leo usingekua na mwandiko mbovu kiasi hiko msamehe bure dingi wakomkuu umechangia kwa hisia Kali, nimeona wivu SNA kijana mwenzangu akiwa na elimu ya juu ktk umri mdogo...mzee wang angekua na hakiri hakika ningekua mbali sna Leo hii