Binti wa mkuu, ndani ya UDOM tena

Binti wa mkuu, ndani ya UDOM tena

Hebu acheni ujinga nyinyi - sasa mbona hamuwashangai hao wengine waliochaguliwa?? Mimi ningeshangaa labda kwa nini anasoma Tanzania - tena UDOM - Maana kwa wadhifa wa Mkuu - ningetegemeahuyo mtoto awe UK kama si USA - kama ilivyokuwa kwa vigogo wengine. Kwa kusoma UDOM - hana tofauti na watoto wa wakulima tu.
 
Ndo ujue kuwa wtz ni majungu na utoto. Mada ya mtoto wa Rais kwenda dodoma ilikuwa ni kitu positive hata kwa watoto maskini. Ni encouragement kwa wote tunaodhani Elimu yetu sio Bora na tunaenda Dom kwa kuwa wazazi wetu maskini. Ila basi kwa kuwa negatives zimejaa mnajifanya hamuoni hili. Ni uchawi huuu. Na hamtabaki salama kwenye nafsi zenu zenye KUTU.


Hey Boss, tuliza munkari. Inshu hapa is NOT about Jesica anasoma wapi au chuo gani, hata kiwe chuo cha kata... I ain't give a shit.
The primary concern here ni ukilaza wake! Go figure.

-Kaveli-
 
5d1b254caa0a457107688134cf1351ca.jpg
Dah ...JF bana
 
Hebu acheni ujinga nyinyi - sasa mbona hamuwashangai hao wengine waliochaguliwa?? Mimi ningeshangaa labda kwa nini anasoma Tanzania - tena UDOM - Maana kwa wadhifa wa Mkuu - ningetegemeahuyo mtoto awe UK kama si USA - kama ilivyokuwa kwa vigogo wengine. Kwa kusoma UDOM - hana tofauti na watoto wa wakulima tu.
Aende UK??? Atarudi kama alivyokwenda. Hapo UDOM maprofesa wataitwa na utamuona na GPA 4.6
 
Hebu acheni ujinga nyinyi - sasa mbona hamuwashangai hao wengine waliochaguliwa?? Mimi ningeshangaa labda kwa nini anasoma Tanzania - tena UDOM - Maana kwa wadhifa wa Mkuu - ningetegemeahuyo mtoto awe UK kama si USA - kama ilivyokuwa kwa vigogo wengine. Kwa kusoma UDOM - hana tofauti na watoto wa wakulima tu.
Anazo sifa za kusoma UDOM?
Hilo ndiyo swali la msingi. Ana GPA ya kutosha kusoma UDOM?
 
hyo ingekuwa list ya kuitwa kazini sijui ingekuwaje maana hii ya chuo watu maneno kibao kuwa mtoto wa kiongozi tabu sana nchi hii
 
Hivi wakuu yule mtoto wa mstaafu kikwete aliye taga yai form four yake yupogo wapi siku hzi????
 
Back
Top Bottom