Binti atoa penzi siku 3 bila ridhaa yake, na kesi kashindwa

Dah ata kama wamei twist kesi hivo sawa kaingiliwa bila ridhaa yake na sio kwa kutishiwa maisha, mbona bado ina uzito case kwann jamaa aachiwe?

Si kuna vipimo vya force entry? Iweje rapist aachiwe kama uthibitisho umenyooka? labda rushwa imetembea. Au ulakini wa story ya dada mana ukijiuliza kweli kwann alitulizana kesho yake akaliwa tena but maybe alitishiwa maisha dah! Rape ni rape bana
 
Man Rody soma sababu ya kuachiwa ni kukosea kwa vifungu vya sheria.
Hujaelewa?
Unataka mahakama ya Juu kabisa imfunge mtu aliyeshitakiwa kwa kosa tofauti?

U
 
Hakuna wa iumlaumu hapo wote wamepata uroda na hakuna alieumizwa, hivyo jamaa adai fidia kwa usumbufu ikibid mahakama iamue waoane kabisa.
 
Binti (Miaka 19) yupo kwa Basi, anatoka zake Dar kwenda Uyulo-Mbeya kumsalimu Shangazi yake, anawasiliana nae kwa Simu akiwa safari, lakini anafika Iringa Simu inakata Chaji.

Binti anamuomba Simu Jamaa aliyekaa pembeni yake aitwaye MAPINDUZI NGALLA, lakini anapiga Simu Shangazi hapatikani. Jamaa anamchombeza Binti kwani unaenda wapi?
Binti anajibu Uyole-Mbeya,
Jamaa anamwambia mmh! pale Uyole usiku kuna wauaji, twende ukalale kwangu Mbalali kisha kesho utamalizia safari yako, Binti anamuuliza kwako unakaa na Familia?
Jamaa anajibu ndio.
👆🏿
Basi Jamaa anamchukua Binti anaenda nae kwake kijiji cha URUNDA- Mbarali, , kumbe Jamaa anakaa peke yake, wanalala chumba tofauti, lakini usiku Jamaa anaenda chumbani kwa Binti, anadai penzi, Binti anakataa lakini Jamaa ana force kingi - anambaka Binti, kesho inafika Jamaa anamfungia Binti ndani, usiku anambaka tena, kesho yake Jamaa anasahau kufunga mlango Binti anafanikiwa kutoka ndani, baadae Jamaa anakamatwa kwa ubakaji.
👆🏿
Jamaa ameshinda kesi. Unajua kwanini? Kifungu -130(1)(2)(b)- ambacho alishtakiwa nacho kinaelezea ubakaji ambao Mwanamke anakubali kufanya mapenzi lakini kukubali kwake kunatokana na kutishiwa kuuliwa, kuumizwa... lakini hii kesi ushahidi wa Binti ulikuwa kwamba alilazimishwa kufanya mapenzi bila ridhaa (consent) yake, hii kitu inaangukia kifungu kingine tofauti -130(1)(2)(a) cha Kanuni ya Adhabu.
Mahakama ya Rufaa chini ya Jaji MASHAKA imemuachia jamaa aliyekuwa amefungwa miaka 30 na mahakama kuu.
Jaji :- Mashaka
Wakili wa Serikali 1 .Edgar Luoga.
2. Devise Msanga.

Nani alaumiwe?
  1. shangazi aliyepotea hewani.
  2. Mapinduzi[mbakaji]?
  3. Binti[Tunda]?
  4. Mawakili wa Serikali waliokosea vifungu vya sheria?
  5. Mungu aliyeshindwa kumfanya jama adindishe?
  6. Serikali inayosajili mawakili chini ya viwango?
Kimya kimya hivyo Ata kelele Haipo
 
Ni kama ume-mislead na maelezo yako kwa sababu hukumu inaonyesha kwamba ukilaza wa waendesha mashtaka na uchukuwaji wa ushahidi ndiyo umesababisha jamaa aachiwe na siyo hicho kifungu per se.
 
Man Rody soma sababu ya kuachiwa ni kukosea kwa vifungu vya sheria.
Hujaelewa?
Unataka mahakama ya Juu kabisa imfunge mtu aliyeshitakiwa kwa kosa tofauti?

U
Nmeelewa Mkuu, point yangu ni kwamba ata kama alifungua kesi kwa ishu ya kuingiliwa bila ridhaa si bado ina mantiki maana alilazimishwa? Au kama mtu alivosema hapo juu ana uwezo wa kurudia tena kufungua kwa usahihi si ndio?

Ila sio uwanja wangu huu kiongozi acha niwe mfatiliaji zaidi wa comment.
 
Alaumiwe binti kwa upumbavu wake... unakubalije kwenda kulala kwa usiyemjua? Watanzania tuna reasoning capacity ya chini sana sana hata tumbili anatuzidi!!
Kabisa Watanzania Reasoning Capacity wengi ni Empty set!!! Juzi nimemkuta mmoja katapeliwa laki 8 toka kwenye Simu Yake😂😂😂😂 Kapigiwa simu eti Kashinda Bahati nasibu😁😁. Kafika Police anaulizwa hiyo bahati nasibu ulicheza wapi na lini ? .Anasema ajawai cheza ata Siku moja😁😁Umeshindaje sasa??? Wao walinipigia Simu😂😂😂
 
Ugali... ugali mkuu. Hii nchi CCM itatawala milele maana tuna wafu wanaotembea wengi sana!
 
Ni kama ume-mislead na maelezo yako kwa sababu hukumu inaonyesha kwamba ukilaza wa waendesha mashtaka na uchukuwaji wa ushahidi ndiyo umesababisha jamaa aachiwe na siyo hicho kifungu per se.
Unajielekeza vibaya, so long as you are not a lawyer, yaani ni LAYMAN kaa kwa kutulia .
 
Back
Top Bottom