Yaelekea huyo jamaa sio muuaji bali ana maumbile makubwa kupita kiasi. watu wa hivyo wapo
Wako wengi sana wa namna hii
Duuuuh kama ni hivyo wengi tutakwisha, yaani toto lile linivyoliona kwenye picha ile globalpublishers limeathirika! Kweli kipimo cha macho ni feki kupindukia!
Lakini usalama ni suala la msingi bila ya kuangalia mtu amefariki kwa namna gani? Hivi hawa wenye Guest wanashindwa hata kuweka CCTV? Matukio makubwa saana yanatokeo kwenye Guest lakini bado hatua hazichukuliwi. Mbona CCTV ni gharama kidogo saana? Pia wenye Guest wanaweza kusaidia polisi hivi mtu analeta wanaweka na inatokea vurugu bado tu mwenye Guest anaendelea kumkubali?
Anh hizi Guest jamani, zinaota kama uyoga na huduma nyingi ni kwa wageni wanaotoka Dar na wanakwenda Dar (Mf DAR).
...Huenda binti ugwadu ulimzidi nguvu mpaka kulipia chumba mwenyewe na hali aliyokuwa nayo ya kujiuguza na ma-ARV juu akaona bora na yeye apate mambo mambo kweli hii kitu ni kiboko kabisa!!...Kumbe na gesti alilipia yeye.....amejitahidi kurefusha maisha ikashindikana, rest in peace dada....
kwa hiyo ukubwa wa maumbile umammalizia mwathirika!
Hapana nadhani rahi zilizidi akaenda kuzimu moja kwa moja...sijui angepigwa kavu angesikia raha zaidi?
Akizungumza na Nifahamishe.com mhudumu wa Gesti hiyo, Lydia Paul, alisema kuwa alimpokea msichana huyo juzi majira ya saa kumi jioni akiwa ameongozana na mwanaume na kufika eneo la baa na kuagiza soda.
Baada ya muda msichana yule aliingia ndani na kutoa noti ya Sh. 10,000, ili apatiwe chumba, na baada ya kumaliza taratibu za kulipia na kuandika jina lake pekee alirudi nje na kumchukua mwanaume huyo na wakaingia chumba hicho namba sita pamoja", alisema Lydia.
Kwa kipindi hicho chote hatukuweza kusikia kelele hadi jioni walipotoka na kuingia bafuni kwa ajili ya kuoga na kurejea tena ndani. Ilipofika mida ya saa moja jioni, yule jamaa alitoka na kutuaga kuwa anakwenda kumnunulia chakula mwenzake.
Na pia alikutwa pembeni yake kukiwa na mipira miwili ya kiume na mmoja ukiwa umetumika alisema Kenyela
Mhhhhhhhhhhhh kuwa uyaone......
Saa 10 hadi saa 1 usiku.
Mpira mmoja umetumika.
Binti ni muathirika.
Binti kakutwa amekufa
Tafakari.....!!!!
Miaka 25-30 bado anaitwa mwanafunzi, msichana! Sasa uanafunzi wake ni wa wapi iwapo alimaliza 1999? Huyo ni kahaba tu, hata gesti alilipa yeye! Halafu Amina Ramadhan si anatakiwa azikwe haraka haraka siku hiyo hiyo alipokufa?