Binti afia gesti,Kinondoni!!!

Binti afia gesti,Kinondoni!!!

Ndugu (nje ya mada) nikiona huyo mtoto hapo juu nacheka mpaka nataka kuzimia
 
Mwee huruma yote ile niliyoonyesha siku ya tukio kumbe mwenyewe alikuwa hajipendi?? alikuwa anayarefusha maisha huku akijitahidi kuyafupisha, mweee!
 
Dunia imekwisha dada yangu kweli yaani tamaa za mwili zilimzidi nguvu
Mwee huruma yote ile niliyoonyesha siku ya tukio kumbe mwenyewe alikuwa hajipendi?? alikuwa anayarefusha maisha huku akijitahidi kuyafupisha, mweee!
 
kukutwa kondomu pembeni inaashiria jamaa alitumia kinga...na inaelekea alikimbia baada ya kuona binti anaweweseka.....du jamani Mungu atuepushe....!!!..huwezi kumtambua muadhirika kwa kumuangalia usoni!
 
condom iliyokutwa imetumika ni moja na humo ndani walikaa zaidi ya masaa 5 sasa huoni kama kuna utata hapo!
kukutwa kondomu pembeni inaashiria jamaa alitumia kinga...na inaelekea alikimbia baada ya kuona binti anaweweseka.....du jamani Mungu atuepushe....!!!..huwezi kumtambua muadhirika kwa kumuangalia usoni!!
 
condom iliyokutwa imetumika ni moja na humo ndani walikaa zaidi ya masaa 5 sasa huoni kama kuna utata hapo!

Kweli mkuu tena kuna utata mkubwa, masaa matano condom moja:A S 13:, jamaa lazima alichakachua kavu tu!!!!
 
ndugu yangu kilimasera naona umekomaa na hii thread kinoma duh!!! kulikoni? au umefurahia huyo mwanafunzi kuvuta nini
 
hapana mzee naishikia ili hapahapa jamvini watu wafahamu kwamba tusikimbilie watoto wa shule tukifahamu kua wengi hawana ngoma tutakua tunajidanganya pia hata sisi kama wazazi tuwachunge sana watoto wetu Ivuga chukulia kama wewe ndio unaletewa taarifa mwanao alikua guest na jibaba na wewe ulikua ukifahamu kwamba yupo shule any way Ivuga nimeumia sana na hii habari maana nilikua naifuatilia toka siku ya tukio!!inasikitisha kwakweli na imegusa mambo mengi kijamii na kielimu hasa juu ya gonjwa hili hatari

kwani aliyekufa si alikuwa msichana mkubwa kabisa? mkuu kilimasera nadhani mtoto wa kike akishafikisha umri fulani huwezi kumbadilisha kitu tena. anafanya maamuzi yake mwenyewe
 
IVUGA wanasema samaki mkunje angali mbichi na hali hii inapojitokeza bado msiba utakuja nyumbani kwako na kwa tatizo kama hili lazima ulibebe kama mzazi ni kweli alikua mkubwa ila mimi kweli huwa sijui hawa dada zetu wanakua na matatizo gani yaani naona kama wao ni rahisi sana kudanganywa kuliko wanaume au watoto wa kiume na ukisema ana maamuzi yake mwenyewe kwasababu alikua bado hajaolewa maana yake bado alikua chini ya wazazi na naona mtoto atakua na maamuzi yake mwenyewe akiishatoka nyumbani kwa wazazi wake any way sababu sijui kama alikuwa bado anaishi kwa wazazi wake lakini kiujumla inabidi tujifunze tu kitu fulani na kama alishakua mwathirika ina maana haya mambo aliyaanza zamani kama tu ukimwi unaambukizwa kwa ngono na sio kitu kingine na kama aliambukizwa kwa njia nyingine basi bahati mbaya ila tuwe makini!

wewe hujui kuwa maambukizo ya ukimwi ni kwa sababu ya uzembe wetu wenyewe??au huamini ndugu yangu ...n uzembe wetu wenyewe na hapa usije ukamhusisha Mungu kabisa
 
Kikubwa ni kumuomba mungu maana kuukwepa ukimwi dunia hii ya leo ni shughuli. Unaweza kuamua kuwa muaminifu lakini mwenza wako akakuletea kutoka nje.

Nahisi huyo baba tayari ana mke wake nyumbani so uwezekano wa kumuambukiza ni rahisi maana hata tumia kondom.
 
Huyu sio mwanafunzi bwana si kamaliza tangu 1999 sasa uanafunzi uko wapi hapo, na kama alikuwa muathirika nafikiri kutaja status yake ni kosa mwenye haki ya kuisema status ni yeye mwenyewe, jamani tuwe makini tutakuja kuua bure, sasa mlipotaja wale waliompitia si mtawaua kwa presha na kihoro maana kuna wengiza walipiga drai (dry) hii ni mbaya sana tuwe makini katika hili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom